Nimewamiss MMU members waliotoweka ghafla

Nimewamiss MMU members waliotoweka ghafla

hivi huku mtu akifa tunamjuaje sasa? maana mnavomisiana hadi huruma yaani,

tangu nikiwa chuo, kipindi hicho credentials zangu ni read only kuna watu nilikuwa nawaona humu...... watu kama akina masai dada, preta, atato, Heaven on Earth mi nilikuwa nahisi ni watu wa humu humu tu, yani kama vile wapo sehemu fulani ya peke yao. Wao wanajuana ila hawataki sisi tuwajue.

Hongereni sana, wengine inabidi muwe na jubilee za kuadhimisha humu
Hahahaaaaa!! Eti ni wa humuhumu!!
 
Kuna Jf members ambao kwa namna moja ama nyingine walilipamba sana jukwaa hili la MMU kipindi fulani kwa michango yao. Watu hao binafsi walikua wananifurahisha sana nafsi yangu kila mmoja kwa staili yake.

Ghafla tu nimejikuta nawakumbuka sana kwani kila nikiingia siwaoni kila nikiingia siwaoni jamani wapo wapi hawa watu??? How are they doing?? Ni muda mrefu kidogo umepita siwaoni oni jukwaani wamepatwa na nini huko jamani?? Anaewajua live bila chenga awape salamu zangu kuwa nimewakumbuka sana hapa jukwaani.

miss neddy Khantwe utafiti Excel mmepotea sana Manka m miss chagga mmepotea kidizain japo miss chagga Jana nilikuona nikakukoti makusudi tu ili nitambue uwepo wako kwakuwa nilikumiss sana na lara1 nimemis weekend storee na mashushu yake na tuvitu twingine twa ziada twingi twingi tu pia huwa napata vimisemo vingivingi kweli vinavoikonga roho yangu na kufanya siku yangu inoge.

Hao na wengineo weengi ambao sijawataja wamejificha wapi sikuhizi???
Mi hujanimiss??

Naenda kukusemelea kwa mama....
 
Back
Top Bottom