Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

Nimewaona wapya wetu Wawili katika Ushambuliaji Simba SC na naomba niseme tu Bingwa tena Msimu huu ni Yanga au Azam

Kwangu mimi sitaki kabsa kushabikia hii timu kwa sasa, naona uhuni unazidi kuwa mkubwa kadri siku zinavosonga. Nitarudi uhuni ukiisha, timu imekuwa genge la wahuni na matapeli

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Simba wapigaji mpaka aibu
Kuna yule teka mrefu kakomaa kama kuni .
Akija kufunga ligi kuu niiteni mbwa
 
Mbona nimeanza kukutibu kitambo tu dada genta si unaona now huropoki matusi?
Kwahiyo ulivyo Mpumbavu ulidhani kuwa sijui kuwa Kutwa Unanitukana ili Kunichokoza ukikariri kuwa sitovumilia na nitaanza Kujibizana nawe kwa Matusi ili utumie ID yako ya Kimamlaka hapa JamiiForums na unipe BAN ya Kunikomoa, Chuki na ya Kimakusudi?

Usiache kabisa KUNITUKANA JF sawa?
 
Back
Top Bottom