Benchikha kalikuta tatizo. Kosa lake litakuwa kushindwa kulitatua.Timu iko slow sana , timu inapoteza mpira kirahisi...hakuna ile msako ' unatoa hutoi ' sijui tatizo ni benchika au wachezaji?
Mbona nimeanza kukutibu kitambo tu dada genta si unaona now huropoki matusi?Utanitibia lini hili tatizo langu la Mental Case?
Sawa sawa alifanyie kazi haraka na mapemaBenchikha kalikuta tatizi. Kosa lake kutakuwa kushindwa kulitatua.
special mental caseBunda Musoma Kiabakari FC tu Mkuu.
Matokeo ya Kaitaba unayo lakini?Simba wapigaji mpaka aibu
Kuna yule teka mrefu kakomaa kama kuni .
Akija kufunga ligi kuu niiteni mbwa
Ndiyo tunaomba na msimamoMatokeo ya Kaitaba unayo lakini?
Kwahiyo ulivyo Mpumbavu ulidhani kuwa sijui kuwa Kutwa Unanitukana ili Kunichokoza ukikariri kuwa sitovumilia na nitaanza Kujibizana nawe kwa Matusi ili utumie ID yako ya Kimamlaka hapa JamiiForums na unipe BAN ya Kunikomoa, Chuki na ya Kimakusudi?Mbona nimeanza kukutibu kitambo tu dada genta si unaona now huropoki matusi?
Hujakosea kabisa Mkuu. Utanitibia lini?special mental case
Msimamo hadi mwisho wa ligi sasa hivi hauakisi hali halisiNdiyo tunaomba na msimamo
Hahaaaaa ulimrogo kwa maneno yako. Jamaa hajafunga goli hata la Offside au la kusingiziwa.Simba wapigaji mpaka aibu
Kuna yule teka mrefu kakomaa kama kuni .
Akija kufunga ligi kuu niiteni mbwa