Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!

Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.

Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.

Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"

Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
 
Tahadhari (hasa kwa wanawake mliookoka): usimjaribu Mungu kwa kutembea peke yako barabarani usiku. Lakini kama unalazimika kabisa kufanya hivyo, usiogope. Simama na ahadi hii ya Mungu:
Zaburi 121:7–8
"Bwana atakulinda na mabaya yote; atakulinda nafsi yako. Bwana atakulinda utokapo na uingiapo, tangu sasa na hata milele."
 
Ungeshuka na kuwasalimia kisha ungewaambia kwa kina la Yesu tawanyikeni, ningeokoka hata sasa hivi.

By the way kibabi woka chako aina gani?
 
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!

Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.

Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.

Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"

Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
If you believe you can fly...!
 
Mimi nikajua ulipiga kung fu kababayaye.

Basi ni vyema.
 
Ungetaja tena kwa nguvu "Allah ". Hiyo naona kama chai. Siku hizi jina Yesu linatumiwa kwa biashara.
 
Ila Setfree 😀
Nimecheka tu, huwa picha yako nakuimagine kama dadaflani hivi pisikali muda wote ametupia gauni za vitenge ana bible mkononi, salamu yake kubwa ni BWANA YESU ASIFIWE!
 
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!

Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.

Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.

Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"

Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
Hii Kamba
 
Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite!
Jina lake Yesu tamu, tukilisikia. Jina hili ni msingi, ngao, ngome, mwamba(Tenzi #5)
Jina la Yesu tamu.jpg
 
Back
Top Bottom