Luka 10:20Jina lake Yesu tamu, tukilisikia. Jina hili ni msingi, ngao, ngome, mwamba(Tenzi #5)
View attachment 3296923
MO11 hujawahi kusoma Yeremia 17:5?Tangu nimebandika picha ya mwamposa mlangoni naweza nisirudi hata wiki mbili nyumbani na sihofii kuibiwa na naishi tandale
Imeandikwa Maana mpatanishi baina ya wanadam na Mungu NI mmoja (Mwanadamu Yesu kristo) Setfree kazi unayo inawezakana unajipinga mwenyewe.MO11 hujawahi kusoma Yeremia 17:5?
Imeandikwa:
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake..."
cc: The Coin Man Shing Yui Wagumu Tunadumu nakwede97 Mallerina
Ni kweli imeandikwa hivyo, lakini hii haitoshi kwenye maisha yetu sababu ni lazima tutegemeaneMO11 hujawahi kusoma Yeremia 17:5?
Imeandikwa:
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake..."
cc: The Coin Man Shing Yui Wagumu Tunadumu nakwede97 Mallerina
Inaonekana umeokoka siku za karibuni kwa sababu kila unalofanya na kulisema ni kuhusu ulokole. Moto ukiisha, ukijua undani wa walokole wengi, utapoa tu.Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!
Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.
Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.
Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"
Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
Hatari.Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!
Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.
Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.
Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"
Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
Huu wimbo umetengeneza kwa AI? Naomba weke wimbo wote
Kweli Bwana Yesu asifiwe sana kwa jinsi Jina lake linavyotuokoa na mabaya mengi.Ila Setfree 😀
Nimecheka tu, huwa picha yako nakuimagine kama dadaflani hivi pisikali muda wote ametupia gauni za vitenge ana bible mkononi, salamu yake kubwa ni BWANA YESU ASIFIWE!
Ukiwa Mlokole sana kuna kipindi unakimbilia kua MwendawazimuLoo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
Sio mwanadamu wa kawaida ni nabiiMO11 hujawahi kusoma Yeremia 17:5?
Imeandikwa:
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake..."
cc: The Coin Man Shing Yui Wagumu Tunadumu nakwede97 Mallerina
Wueeh😀, siwezi kumjaribu Mungu, mie!Sasa zoea kurudi usiku hivyo hivyo
Wow, hiyo ni habari njema sana. Kumbe nakimbilia kufanana na Yesu?Ukiwa Mlokole sana kuna kipindi unakimbilia kua Mwendawazimu
Sasa wewe ulisikia wapi majambazi wanafukuzwa kwa jina la Yesu wakati wanaweza kuvamia hata Makanisa ndio maana Makanisa yanalindwa na Mitutu ya Bunduki km ingekua hivyo basi ulinzi wa Jina la Yesu unatosha kuwafukuza majambazi Makanisa yote yasingekua na walinzi wenye silaha za moto, hata Mwoposa analindwa na walinzi kibao unahisi jina la Yesu halimtoshi kufukuza majambeka?Wow, hiyo ni habari njema sana. Kumbe nakimbilia kufanana na Yesu?
Yohana 10:20
Wengi wao wakasema, “[Yesu]ana pepo; tena ni mwendawazimu! Ya nini kumsikiliza?”
Ila nakushangaa wewe mzima wa akili. Yaani mimi mwendawazimu nimeweza kukufanya ufungue uzi huu, ukausoma na ku-comment? Aah, basi uendawazimu wangu una faida!🙂
Ninunulie bibleMO11 hujawahi kusoma Yeremia 17:5?
Imeandikwa:
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake..."
cc: The Coin Man Shing Yui Wagumu Tunadumu nakwede97 Mallerina
HakikaMO11 hujawahi kusoma Yeremia 17:5?
Imeandikwa:
"BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake..."
cc: The Coin Man Shing Yui Wagumu Tunadumu nakwede97 Mallerina
Na mungu azidi kukupa nguvuNdugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!