Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

Tangu nimebandika picha ya mwamposa mlangoni naweza nisirudi hata wiki mbili nyumbani na sihofii kuibiwa na naishi tandale
We kwako umebandika picha ya mwamposa mlangoni ikupe ulinzi, mwamposa yeye kwake ana ukuta wenye umeme,cctv camera na walinzi wa kampuni.
 
Umekumbuka kumshukuru Mungu kabla hujaanza kula huo mhogo
1 Wathesalonike 5:18
Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu
Nimejikuta nasema Bismilahi. Hivyo basi nimetoa shukurani?
...

kifupi jibu ni Ndio.

...Kwahiyo unasema hii mada sio chai?
 
We kwako umebandika picha ya mwamposa mlangoni ikupe ulinzi, mwamposa yeye kwake ana ukuta wenye umeme,cctv camera na walinzi wa kampuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo unasema hii mada sio chai?
Ni habari ya kweli kweli kabisa.
Uongo ni dhambi. Kwanini niseme uongo wakati najua waongo watatupwa motoni.

Ufunuo 21:8
Lakini waoga, wasioamini, wachafu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, pamoja na waongo wote, mahali pao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
 
Tangu nimebandika picha ya mwamposa mlangoni naweza nisirudi hata wiki mbili nyumbani na sihofii kuibiwa na naishi tandale
Sina mbavu KABISA KABISA 😁😅🤣😆😂
 
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!

Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.

Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.

Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"

Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
Mwenzetu kumbe una gari,,,,,,,,,,,,,
 
Ila Setfree 😀
Nimecheka tu, huwa picha yako nakuimagine kama dadaflani hivi pisikali muda wote ametupia gauni za vitenge ana bible mkononi, salamu yake kubwa ni BWANA YESU ASIFIWE!
halafu joto lao zuri mashallah mashallah
 
Mwenzetu kumbe una gari,,,,,,,,,,,,,
Ndio. Nilimuomba Mungu akanipa gari na vitu vingine vingi. Soma uzi huu 👇 zingatia vigezo na masharti, kisha muombe Mungu lolote, utapewa.
 
Ni habari ya kweli kweli kabisa.
Uongo ni dhambi. Kwanini niseme uongo wakati najua waongo watatupwa motoni.

Ufunuo 21:8
Lakini waoga, wasioamini, wachafu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, pamoja na waongo wote, mahali pao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Amani ikutawale.
🙏🏿
 
Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!

Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.

Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.

Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"

Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya
Yawezekana ulikuta watu wamepata breakdown nao wanatafuta msaada wewe ukafikiri ni majambazi. Jambazi gani akusimamishe bila kuweka barrier!
 
Back
Top Bottom