Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

Just image una msambaratisha Yesu Kwa Jina la Yesu maana maana imeandikwa Naja Kama mwizi heri yake yeye akeshae akiomba na kusali"😸😸😸😸
 
Kum 28:7
Maadui zenu wakiwashambulia, Bwana atawapeni ushindi juu yao. Wakija kuwashambulia kwa njia moja watawakimbieni kwa njia saba.
 
Inaonekana umeokoka siku za karibuni kwa sababu kila unalofanya na kulisema ni kuhusu ulokole. Moto ukiisha, ukijua undani wa walokole wengi, utapoa tu.
 
Aliyesema dini ni bangi hakukosea
 
Hatari.
 
Ila Setfree πŸ˜€
Nimecheka tu, huwa picha yako nakuimagine kama dadaflani hivi pisikali muda wote ametupia gauni za vitenge ana bible mkononi, salamu yake kubwa ni BWANA YESU ASIFIWE!
Kweli Bwana Yesu asifiwe sana kwa jinsi Jina lake linavyotuokoa na mabaya mengi.
Nomadix mbona umechekaπŸ˜€ baada ya kusoma habari hii. Umefurahia nini, mkuu
 
Ukiwa Mlokole sana kuna kipindi unakimbilia kua Mwendawazimu
 
Sasa zoea kurudi usiku hivyo hivyo
WueehπŸ˜€, siwezi kumjaribu Mungu, mie!
Si unakumbuka jinsi Yesu alivyomjibu shetani alipomjaribu Yesu kwa kumwambia ajitupe chini kutoka juu ya mnara.
Luka 4:12
Yesu akajibu akamwambia, Imenenwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako
 
Ukiwa Mlokole sana kuna kipindi unakimbilia kua Mwendawazimu
Wow, hiyo ni habari njema sana. Kumbe nakimbilia kufanana na Yesu?
Yohana 10:20
Wengi wao wakasema, β€œ[Yesu]ana pepo; tena ni mwendawazimu! Ya nini kumsikiliza?”

Ila nakushangaa wewe mzima wa akili. Yaani mimi mwendawazimu nimeweza kukufanya ufungue uzi huu, ukausoma na ku-comment? Aah, basi uendawazimu wangu una faida!πŸ™‚
 
Sasa wewe ulisikia wapi majambazi wanafukuzwa kwa jina la Yesu wakati wanaweza kuvamia hata Makanisa ndio maana Makanisa yanalindwa na Mitutu ya Bunduki km ingekua hivyo basi ulinzi wa Jina la Yesu unatosha kuwafukuza majambazi Makanisa yote yasingekua na walinzi wenye silaha za moto, hata Mwoposa analindwa na walinzi kibao unahisi jina la Yesu halimtoshi kufukuza majambeka?
 
Na mungu azidi kukupa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…