We kwako umebandika picha ya mwamposa mlangoni ikupe ulinzi, mwamposa yeye kwake ana ukuta wenye umeme,cctv camera na walinzi wa kampuni.Tangu nimebandika picha ya mwamposa mlangoni naweza nisirudi hata wiki mbili nyumbani na sihofii kuibiwa na naishi tandale
Nimejikuta nasema Bismilahi. Hivyo basi nimetoa shukurani?Umekumbuka kumshukuru Mungu kabla hujaanza kula huo mhogo
1 Wathesalonike 5:18
Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kwako umebandika picha ya mwamposa mlangoni ikupe ulinzi, mwamposa yeye kwake ana ukuta wenye umeme,cctv camera na walinzi wa kampuni.
Ni habari ya kweli kweli kabisa.Kwahiyo unasema hii mada sio chai?
Sina mbavu KABISA KABISA ππ π€£ππTangu nimebandika picha ya mwamposa mlangoni naweza nisirudi hata wiki mbili nyumbani na sihofii kuibiwa na naishi tandale
Mwenzetu kumbe una gari,,,,,,,,,,,,,Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!
Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.
Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.
Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"
Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya!
Wewe Allah ni shwetani, angemtaja hasingetoboa.Ungetaja tena kwa nguvu "Allah ". Hiyo naona kama chai. Siku hizi jina Yesu linatumiwa kwa biashara.
Ndio. Nilimuomba Mungu akanipa gari na vitu vingine vingi. Soma uzi huu π zingatia vigezo na masharti, kisha muombe Mungu lolote, utapewa.Mwenzetu kumbe una gari,,,,,,,,,,,,,
Amani ikutawale.Ni habari ya kweli kweli kabisa.
Uongo ni dhambi. Kwanini niseme uongo wakati najua waongo watatupwa motoni.
Ufunuo 21:8
Lakini waoga, wasioamini, wachafu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, pamoja na waongo wote, mahali pao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
Yawezekana ulikuta watu wamepata breakdown nao wanatafuta msaada wewe ukafikiri ni majambazi. Jambazi gani akusimamishe bila kuweka barrier!Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma!
Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua katika eneo hilo kuna majambazi, hivyo niliendesha tu gari comfortably.
Nilipokaribia kona fulani, kundi la majambazi wapatao watano walijitokeza mbele yangu kwa kushtukiza, wakanifanyia ishara ya kunisimamisha. Ni dhahiri walikuwa na nia ya kufanya uhalifu.
Mita chache kabla ya kuwafikia, kwa sauti ndogo tu, ila ya ujasiri, nilitamka: "Kwa Jina la Yesu, mmeshindwa!"
Loo, aibu yao! Nguvu ya Jina la Yesu iliwagusa hao majambazi, wakatawanyika wote kwa haraka na kunipisha nipite! Si ajabu waliona moto kutoka mbinguni ukiwaijia! Nikapita salama, nikiwa nimejaa shukrani na sifa kwa Mungu aliyenilinda na kunifikisha nyumbani salama. Haleluya