AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Wakuu,
Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia kwenye nyimbo ya G Nako ft. CHIN Bees & Nikki Wa II - AROSTO
Sasa nikaruka moja kwa moja kwenye lines za Nikki Wa II sijui nilikua nawaza nini nikazisikiliza kwa makini sana kisha nikaishia kutafakari na kujiuliza inamaana alikua anajiandikia jambo linalokwenda kumtokea mwenyewe au mimi nimeelewa tofauti?
Lines ni hizi hapa sikiliza kwa umakini:
Yeah
Ma Ma Ma-ex wangu nawa-diss
Maana Ma-ex wangu wote walikua rahisi
Sikujua kutongoza kua ni ngumu like this
Sikujua mi sijui kutongoza like this
Aaaah
Kumbe kushobo shobokewa
Kuwapata kwa ngekewa
Ni kuanza kuondokewa na maujuzi yako ya watoto kuwatokea
Na upuuzi wako leo mtoto kapotea
Aaaah
Basi niishie hapo.
Naomba nakala moja achukue Shadeeya. Peace!