Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
-
- #41
Kwaiyo nikiweka hela jumamosi kuja kuiona hela si hadi jumatatu?😳Hapana
Vinanunuliwa Ndani Ya Saa 48~72 Siku Tano Za Kazi
ukiweka Leo Jumamosi Ujue Mpaka Jumatano
hayaUkiona jambo linapigiwa sana chapuo kilio chaja.
Kwanini T Bills and T Bonds hazina chapuo sana?
mtoto wa kiume kupenda kunya kunya siyo vizuriNakata gogo
Gogo la mnazi sio kimbamtoto wa kiume kupenda kunya kunya siyo vizuri
Ndiyo Halafu Vipande Vitanunuliwa Kwa Bei Iliyopo Sokoni Siku HiyoKwaiyo nikiweka hela jumamosi kuja kuiona hela si hadi jumatatu?😳
kwaiyo siku nzuri ya kununua vipande ni liniNdiyo Halafu Vipande Vitanunuliwa Kwa Bei Iliyopo Sokoni Siku Hiyo
Kipande Kinaweza Kupanda/Kushuka Bei Kulingana Na Soko
Nafurahi nikisikia hivo yaan nachachawaHio 360 wamekulambisha ya intro utakula mahera had upagawe vumilia
ha ha unajiteteaGogo la mnazi sio kimba
elf 1000 kwa sikuYaani 3m kwa muda wa wiki ulitaka ikuingizie ngapi?
we mwenye elimu si ufafanue kinachoendeleaElimu
Elimu
Elimu
Kabla ya kuwekeza ni muhimu MNO!!kwa kila uwekezaji wako mwana JF
All the best
yaanNgoja nisake na mimi vihela niwekeze maana biashara naona mapichapicha...
Katika kitu nachoamini ni kuthubutu hata kama ukiwekeza hiyo 3m yote na ikapotea katika shughuli za uwekezaji usiogope kwasabab ni katika safar ya kujifunza ili kuwa imara zaid. Hapo unawanufaisha wengine na wanakuona wewe fala ndomana wanakupa visenti wanavotaka wao kwasabab wameona wewe huwez kufikiria vizuriwakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate
Wewe ni muongo. Hakiki taarifa zako vizuri. Maana kwa mujibu wa kiambatanisho salio laki ni 3,100,360. Ina maana kuna ongezeko la 100,360. Na hili haliwezi kuwa ongezeko la wiki.wakuu mimi niko Liquid fund .Haya ndo niliyoyaona nimeweka 3M nina wiki na imeongezeka 360 ndo nn yaan mbona haiendani na % nazo calculate
Katika kitu nachoamini ni kuthubutu hata kama ukiwekeza hiyo 3m yote na ikapotea katika shughuli za uwekezaji usiogope kwasabab ni katika safar ya kujifunza ili kuwa imara zaid. Hapo unawanufaisha wengine na wanakuona wewe fala ndomana wanakupa visenti wanavotaka wao kwasabab wameona wewe huwez kufikiria vizuridu
Nimeongelea milioni sijaongelea lakiWewe ni muongo. Hakiki taarifa zako vizuri. Maana kwa mujibu wa kiambatanisho salio laki ni 3,100,360. Ina maana kuna ongezeko la 100,360. Na hili haliwezi kuwa ongezeko la wiki.
Kwa wiki moja ongezeko la 3M lingezidi 7000. Hebu toa taarifa sahihi.