Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu

Nauliza, hivi kondomu isipochanika, je, inazuia UKIMWI? Mimi ndiyo michezo yangu, natumia kondomu tu sijui kuna siku virusi vitapenya kwenye kondomu!
 
Naomba connection mkuu[emoji1783][emoji4]
Kuna dawa zinaitwa Prep yaan hizo unameza halafu unadunda kwa mwezi mzima kavukavu na hupati maambukizi. Kwa sasa hizi dawa serikali inatoa kwa wauguzi (madaktari/manesi), wasaganaji na mashoga only.
 
nipe jina mkuu nimsake
Kachukue Xiaomi 13T Pro.... Mimi nina ya zamani yake ya 2021, kachukue hiyo mpya ni nzuri sana, japo bei imechangamka kidogo maana ni "Flagship Killer".
 
Inapo tolewa elimu kuhusu UUNGU UPO NDANI MWETU nyinyi mnapuuza nakujiona wasomi wa phd.ona sasa unajilaumu kwaujinga ulio ufanya wakuto kutumia AKILI ipasavyo.
Umeweka mbele hisia zako naleo unajuta hapa..sasa sisi unataka tukushauli nini ndugu yangu???
 
Back
Top Bottom