Nimezaa na mke wa mtu watoto wawili na ana mimba ya tatu

Status
Not open for further replies.
Mleta mada endelea kumla tu nawe very soon utaliwa.

Mleta mada endelea kumla tu nawe very soon utaliwa.
nimeacha mkuu, nimejikuta nafsi inanisuta japo si kosa langu ni la huyo mama kunitafuta tena ili hali alishabadilisha namba ya simu ambapo nisingeweza kuonana naye tena. Naweza kulaumiwa lkn kumbuka hakuna mwanaume aliyeshinda vita ya mke. Tukianza na Adam, Samson nk nk
 
Hongera kwa kuacha uzinzi na kujitoa zinaa.
Katika hili sitaki hongera wa likes. Hili jambo ghafla limeanza kunitesa sana na nahitaji sana kuungama hii dhambi. Ila wanawake ni shida. Angeikubali hali aliyoikuta kwa mmewe haya yasingetokea. Najua aliolewa baada ya kumwambia siwezi kumuoa. Hivo alifanya kama kunikomoa. All najua humu wanacomment mpaka wanawake but most of you mnarudi kwa Ma Ex
 
kwa akili yako kusubiri daladala ni upumbavu, kuna watu wanapanda daladala na wana hela ya kutosha, kuna watu wanamiliki daladala na wanapanda daladala, kupanga ni kuchagua. Pia hakuna mwanaume awe kijana au mtu mzima ambaye hana mpango wa kando,
Duh😅😅👇
hata mamako anagongwa na mtu ambaye sibabako, au unalelewa na mtu ambaye si babako.
"Hata mamaako anagongwa na mtu ambaye si babaako,au unalelewa na mtu ambae si babaako" ahahahah bonge la punch line
Heshimu wanaume we mvulana
"Heshimu wanaume we mvulana"😅😅
 
yaani kosa ulilofanya anayeweza kutoa msamaha wake ni MUNGU tu!
Huna namna yoyote ya kupata watoto wa mtu mwingine eti useme ni wa kwako; au pengine niseme inawezekana umechoka kuishi hapa Duniani!!!
 
Ukikuwa utajua sasa hivi endelea kwanza kucheza game na kubet. Hapa wanapaswa kucomment wanaume wanaojua naongelea nini na si wavulana

Mimi hapa pia mtu mzima, labda hata nakuzidi umri, na nimeyaona na kuyapitia labda hata mara kumi yako, nimetafuna mke wa mtu ila unapaswa kutumia akili na kujua wapi pa kuchora mstari, sio kuachia dushe likuongoze kwenye maamuzi yote.

Hapo unakwenda kupasua familia ya watu ibomoke vipande, na pia inawezekana na yako ikalipuka kiasi cha kutosamehewa na hata wanao, unaishia kuvuruga kote na kuharibikiwa, na hamna kitu cha hovyo kama kuanza kuingia uzeeni huku umevurugana na watoto wako.

Unapswa uwahiwe ufe kabla haujaharibu kote...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…