Usitegemee kupata good reply hapa maana wengi wana feel kuvaa viatu vya mume mwenzio na kuona kama kwenye familia zao umeingia na kuwazalisha wake zao wote.
Hii kitu siyo nzuri kifamilia pia.
Wewe ni mtu mzima sasa, je ingekuwa wewe umefanyiwa hayo ungejisikiaje.
La kufanya na wanavyofanya wenzio hakikisha hao watoto wanasoma vizuri.
Ikitokea mwenzio ametangulia ndipo mama atawaambia watoto hali halisi.
Kwa sasa ukiongeza nguvu tu ya kuwadai wote wewe mke watoto mtaingia kaburini, miaka hii watu wamevurungwa.