Wewe hapa unaomba ushauri wa kuzini au matokeo baada ya kuzini?ukitumia condom hautokuwa umezini au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hapa unaomba ushauri wa kuzini au matokeo baada ya kuzini?ukitumia condom hautokuwa umezini au?
Modes naomba ufunge huu uzi naona umewakwaza wanaume wengi, japo ukweli ni kwamba ni hadithi ambayo nimeikuta huku mtandaoni nikaibadilisha kidogo ili iende na mazingira ya kwetu. Lakini haina uhusiano wowote na maisha hadithi ya kwangu. Japo ni mambo ambayo yapo kwenye jamii. Fuatilia hiyo link hapo.Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka mikoa mbalimbali katika kutafuta riziki, mwaka 2012 nikiwa Dar na familia ikiwa mkoani nilikutana na dada mmoja bank flani hapohapo Dar.
Nikiwa kwenye foleni ya kuchukua visenti vyangu nyuma yangu kulikuwa na mwanadada ambaye ni kama age mate wangu tofauti yetu ni kama miaka miwili, yaani namzidi miaka 2.
Huyu dada alikuwa hana kalamu kwa ajili ya kujazia ile slip ya benki, hivyo akaniomba kalamu, nami bila hiana nikampatia huku nikiendelea kusogea counter ili nichukuwe visenti vyangu. Wakati namaliza kuchukuwa hela naye alikuwa amemaliza kujaza ile karatasi hivo akawa anasogea counter, yeye alikuwa ana depost hela.
Akanipatia kalamu yangu nikajivuta nje ya benki na hatimaye barabarani kusubiria daladala, nikiwa bado nasubiri daladala huyu dada akawa amekuja huku akiwa na ki IST chake akaniuliza unaelekea wapi nikamwambia Mwenge alafu Mbezi, akanIambia twende nikusogeze na hapo ndo mazungumzo yalianza.
Alinieleza mambo mengi kuhusu familia yake kuwa yeye ni yatima hamjui mama wala baba na alikuwa ameolewa mkoa fulani hivi lakini kutokana na tabia za mmewe waliamua kuachana, yeye kachukuwa watoto wake kuja Dar. Tangu siku hiyo tukaanza mazoea na hatimaye mahusiano. Kwa bahati mbaya yeye akataka sana ni muoe kitu ambacho mimi sikuweza kwa sababu tayari nilikuwa na mke.
Baada ya mahusiano ya takribani miaka mitatu huyu dada akapata mtu wa kumuoa na akanijulisha kuwa anaolewa kwa hiyo uhusiano wetu umefika mwisho , nikamwambia sawa na namba akabadilisha. Baada ya miezi sita akanipigia simu na namba mpya akaniomba samahani na kunIambia kama bado uko Dar naomba tuonane na kipindi hiki mimi pia nilikuwa nimeshaleta familia yangu Dar, nikamwambia sawa.
Tukakutana kwenye ile hoteli aliyofia yule mzee wa miaka 80 akiwa na binti. Akaniomba tena samahani na usema kuwa tangu ameolewa hajawahi kuinjoi penzi, kwani mume wake hata dakika hamalizi anakuwa ameshakojoa na hawezi kurudia tena, kinachofuata ni kuomba samahani tu. Nikamuuliza kwa hiyo nikusaidiaje? akasema 'kama kuna dawa unaijua naomba nimpelekee m'ume wangu', nikamwambia sina dawa na akanipa tena mzigo nikagonga na akawa amepata ujauzito siku hiyohiyo.
Tumeendelea na uhusiano mpaka sasa na nimeshamzalisha watoto wawili na ana mimba ya tatu anatarajia kujifungua mwezi wa nane.
Kwa sasa yeye na mume wake hawaishi Dar ila kwa kuwa ni mfanyabiashara mara nyingi anakuja Dar kuchukuwa mzigo na mbinu anayotumia akitaka kuja na akiwa na lengo la kubeba ujauzito anakuja akiwa anakaribia zile siku za hatari, hivyo tunafanya yetu alafu anarudi kwa mumewe.
Akifika kwa mume kwa kuwa mume anaifahamu kalenda yake mwanamke atajifanya ameingia period na kuvaa pedi kama kawaida na baadaye anamtegeshea jamaa anagonga alafu mwanamke anamwambia ameshika ujauzito.
Hii mbinu kwa upande wa mwanamke imefanya kazi vizuri lakini kwangu sasa naumia na natamani damu yangu, kwa lugha nyingine nahitaji hawa watoto wangu. Mke wangu hajui lakini yule mume mwenzangu pia hajui. Lakini ananijua tu kwa jina kwani mara nyingi amewahi kufuma sms zangu kwenye simu ya mkewe na kunipigia simu akiomba niachane na mke wake kwa kuwa anampenda sana mkewe.
Mwaka jana baada ya kuwa amekaa muda tangu kujifungua mtoto wa pili nikamtania hutaki tena kuzaa akasema nataka lakini naona kama wameisha make jamaa miaka yote nimemwachia jamaa lakini sishiki mimba, nikamwambia njoo tujaribu hii ilikuwa ni mwezi akaja na matokeo kashika mimba ya tatu tena. Kiuchumi yuko vizuri tu ana biashara zake, na mume ni mfanyakazi Serikalini.
Hebu tushauriane nini nifanye make natamani hawa watoto wangu ukizingatia mke wangu hazai tena na watoto wetu ni wakubwa wa mwisho amemaliza six anaenda JKT, wawili wako chuo. Na huyu jamaa akijua kinachofuata ni yale ya SAIDI. Mwanamke ananisihi sana nisaidae hawa watoto ila ikitokea mume wake amekufa kabla yangu atawaambia watoto ukweli tofauti na hapo hawezi na ananiomba sana nisithubutu.
hahaaa Umetisha, siyo story kamili mpendwa nilitaka tu kuleta funzo nimekutana nayo uko opearaLawama ni lazima, huku wana ndoa zao wanaogopa kupata watoto siyo wao
Huyo mwanamke mwenzetu tunamwacha kwa kummezea tu maana yeye ndiye Eva aliyekushawishi.
Mwambie akupe kadi za watoto walau apige picha akutumie mnaweza mkawa mpo wa baba watoto hata kumi yeye anaongeza mtaji tu huku wewe unaambulia majibu tata humu.
Modes naomba ufunge huu uzi naona umewakwaza wanaume wengi, japo ukweli ni kwamba ni hadithi ambayo nimeikuta huku mtandaoni nikaibadilisha kidogo ili iende na mazingira ya kwetu. Lakini haina uhusiano wowote na maisha hadithi ya kwangu. Japo ni mambo ambayo yapo kwenye jamii. Fuatilia hiyo link hapo.
Opera News - Neuesten Nachrichten In Germany-German | Aktuelle Nachrichten
Neuesten Germany-German Nachrichten auf OperaNewsApp.com bekommen: Aktuelle Nachrichten und Videos in Germany-German , Fußballnachrichten, Politik, Sport, Unterhaltung, Technik, Handel.ng.opera.news
Kweli dunia hii ina watu bongolala kabisa!! Yaani umemfanyia kosa kubwa hivyo mwanamme mwenzio mara kadhaa halafu bila aibu unajitangaza hapa kana kwamba umefanya jambo la kishujaa sana eeh??!! Risasi 40 ni halali yako! Ulitakiwa kujutia kosa si kuja kujigamba humu. Jaribu kuvaa viatu vya huyo mwenzio, we ndio umegongewa mkeo mpaka watoto wa3. INAUMA AU SIO?! Shetani akuache uone ukubwa wa kosa uliomfanyia mwanaume mwenzio. Ujue KARMA ni halisi na utalipa unavyostahili mapema kama si kesho tu!!?Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka mikoa mbalimbali katika kutafuta riziki, mwaka 2012 nikiwa Dar na familia ikiwa mkoani nilikutana na dada mmoja bank flani hapohapo Dar.
Nikiwa kwenye foleni ya kuchukua visenti vyangu nyuma yangu kulikuwa na mwanadada ambaye ni kama age mate wangu tofauti yetu ni kama miaka miwili, yaani namzidi miaka 2.
Huyu dada alikuwa hana kalamu kwa ajili ya kujazia ile slip ya benki, hivyo akaniomba kalamu, nami bila hiana nikampatia huku nikiendelea kusogea counter ili nichukuwe visenti vyangu. Wakati namaliza kuchukuwa hela naye alikuwa amemaliza kujaza ile karatasi hivo akawa anasogea counter, yeye alikuwa ana depost hela.
Akanipatia kalamu yangu nikajivuta nje ya benki na hatimaye barabarani kusubiria daladala, nikiwa bado nasubiri daladala huyu dada akawa amekuja huku akiwa na ki IST chake akaniuliza unaelekea wapi nikamwambia Mwenge alafu Mbezi, akanIambia twende nikusogeze na hapo ndo mazungumzo yalianza.
Alinieleza mambo mengi kuhusu familia yake kuwa yeye ni yatima hamjui mama wala baba na alikuwa ameolewa mkoa fulani hivi lakini kutokana na tabia za mmewe waliamua kuachana, yeye kachukuwa watoto wake kuja Dar. Tangu siku hiyo tukaanza mazoea na hatimaye mahusiano. Kwa bahati mbaya yeye akataka sana ni muoe kitu ambacho mimi sikuweza kwa sababu tayari nilikuwa na mke.
Baada ya mahusiano ya takribani miaka mitatu huyu dada akapata mtu wa kumuoa na akanijulisha kuwa anaolewa kwa hiyo uhusiano wetu umefika mwisho , nikamwambia sawa na namba akabadilisha. Baada ya miezi sita akanipigia simu na namba mpya akaniomba samahani na kunIambia kama bado uko Dar naomba tuonane na kipindi hiki mimi pia nilikuwa nimeshaleta familia yangu Dar, nikamwambia sawa.
Tukakutana kwenye ile hoteli aliyofia yule mzee wa miaka 80 akiwa na binti. Akaniomba tena samahani na usema kuwa tangu ameolewa hajawahi kuinjoi penzi, kwani mume wake hata dakika hamalizi anakuwa ameshakojoa na hawezi kurudia tena, kinachofuata ni kuomba samahani tu. Nikamuuliza kwa hiyo nikusaidiaje? akasema 'kama kuna dawa unaijua naomba nimpelekee m'ume wangu', nikamwambia sina dawa na akanipa tena mzigo nikagonga na akawa amepata ujauzito siku hiyohiyo.
Tumeendelea na uhusiano mpaka sasa na nimeshamzalisha watoto wawili na ana mimba ya tatu anatarajia kujifungua mwezi wa nane.
Kwa sasa yeye na mume wake hawaishi Dar ila kwa kuwa ni mfanyabiashara mara nyingi anakuja Dar kuchukuwa mzigo na mbinu anayotumia akitaka kuja na akiwa na lengo la kubeba ujauzito anakuja akiwa anakaribia zile siku za hatari, hivyo tunafanya yetu alafu anarudi kwa mumewe.
Akifika kwa mume kwa kuwa mume anaifahamu kalenda yake mwanamke atajifanya ameingia period na kuvaa pedi kama kawaida na baadaye anamtegeshea jamaa anagonga alafu mwanamke anamwambia ameshika ujauzito.
Hii mbinu kwa upande wa mwanamke imefanya kazi vizuri lakini kwangu sasa naumia na natamani damu yangu, kwa lugha nyingine nahitaji hawa watoto wangu. Mke wangu hajui lakini yule mume mwenzangu pia hajui. Lakini ananijua tu kwa jina kwani mara nyingi amewahi kufuma sms zangu kwenye simu ya mkewe na kunipigia simu akiomba niachane na mke wake kwa kuwa anampenda sana mkewe.
Mwaka jana baada ya kuwa amekaa muda tangu kujifungua mtoto wa pili nikamtania hutaki tena kuzaa akasema nataka lakini naona kama wameisha make jamaa miaka yote nimemwachia jamaa lakini sishiki mimba, nikamwambia njoo tujaribu hii ilikuwa ni mwezi akaja na matokeo kashika mimba ya tatu tena. Kiuchumi yuko vizuri tu ana biashara zake, na mume ni mfanyakazi Serikalini.
Hebu tushauriane nini nifanye make natamani hawa watoto wangu ukizingatia mke wangu hazai tena na watoto wetu ni wakubwa wa mwisho amemaliza six anaenda JKT, wawili wako chuo. Na huyu jamaa akijua kinachofuata ni yale ya SAIDI. Mwanamke ananisihi sana nisaidae hawa watoto ila ikitokea mume wake amekufa kabla yangu atawaambia watoto ukweli tofauti na hapo hawezi na ananiomba sana nisithubutu.
Kuna wengine wanamwaga sana matusi mkuu, hivyo ili kubalance lazima uende nao sawa. Nilichojifunza hapa ni kwamba wanadamu kwa asili yetu ya dhambi bado tunapenda kujificha sana gizani. Kwa nini kati ya wale walionishambulia hakuna hata mmoja asiyechepuka iwe kwa mwanaume au mwanamke. Mara nyingi kuchepuka pale nguvu ya binadamu inapopungua. Kama mwanaume ukiwa mwaminifu mwanamke anakuwa shida. Na hii ndo inapelekea kufanya yale aliyofanya Saidi, wengi wanamlaum wanamwita kichaa ni kweli kwa sababu wataalamu wa afya ya akili wanatuambia kila binadamu ni kichaa tofauti ni level ya ukichaa.Ila ulikuwa mkali kwa wadau mpaka Mimi Mzee nikashindwa kuchangia kwa hekima
Niliona nisije kubunjiwa heshima bure [emoji23]
Ila kwa kama umeupata mahali sawa ila sio poa kabisa kutembea na wake za watu wakati singles na single mother wamejaa [emoji23]
Yawezekana mkuu si unajua tena sisi kina mtu mzima hapangwiKwa muhtasari ,kilichokuponza ni "Ki -IST" chake.
Sas mam denyi unasema kuwa mkp jamaa atangulie ndio mkee aje aseme ukweli wa watoto je huyu jamaa akitaka kumua huyo mzee ili abaki na watotUsitegemee kupata good reply hapa maana wengi wana feel kuvaa viatu vya mume mwenzio na kuona kama kwenye familia zao umeingia na kuwazalisha wake zao wote.
Hii kitu siyo nzuri kifamilia pia.
Wewe ni mtu mzima sasa, je ingekuwa wewe umefanyiwa hayo ungejisikiaje.
La kufanya na wanavyofanya wenzio hakikisha hao watoto wanasoma vizuri.
Ikitokea mwenzio ametangulia ndipo mama atawaambia watoto hali halisi.
Kwa sasa ukiongeza nguvu tu ya kuwadai wote wewe mke watoto mtaingia kaburini, miaka hii watu wamevurungwa.
Umejuaje kama watoto wote ni wako? Una uthibitisho gani usiotia shaka?kwa akili yako kusubiri daladala ni upumbavu, kuna watu wanapanda daladala na wana hela ya kutosha, kuna watu wanamiliki daladala na wanapanda daladala, kupanga ni kuchagua. Pia hakuna mwanaume awe kijana au mtu mzima ambaye hana mpango wa kando, hata mamako anagongwa na mtu ambaye sibabako, au unalelewa na mtu ambaye si babako. Heshimu wanaume we mvulana
Kuna wengine wanamwaga sana matusi mkuu, hivyo ili kubalance lazima uende nao sawa. Nilichojifunza hapa ni kwamba wanadamu kwa asili yetu ya dhambi bado tunapenda kujificha sana gizani. Kwa nini kati ya wale walionishambulia hakuna hata mmoja asiyechepuka iwe kwa mwanaume au mwanamke. Mara nyingi kuchepuka pale nguvu ya binadamu inapopungua. Kama mwanaume ukiwa mwaminifu mwanamke anakuwa shida. Na hii ndo inapelekea kufanya yale aliyofanya Saidi, wengi wanamlaum wanamwita kichaa ni kweli kwa sababu wataalamu wa afya ya akili wanatuambia kila binadamu ni kichaa tofauti ni level ya ukichaa.
Lengo kuleta hii mada hapa juu ilikuwa nikukumbushana tu kuwa kwenye ndoa zetu kuna mambo yanaendelea ambayo huenda tusiyajue mpaka siku tunaenda kaburini.
Nakumbuka na kubaliana na Mheshimiwa Kabudi akiwa waziri wa sheria aliwahi kunukuliwa bungeni kuwa asilimia kubwa ya wazazi wa kiume ni parental na siyo biological.
Lakini pia kuna mdau hapo juu alisema naweza kuwekewa mtegoni kupitia mwanamke kwa mwanaume au mwanamke aliyezoea kuchepuka hutompata kwa mtego hata siku moja.
Asante