Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

LI SINGO MAMA LA NINI SASA? WAKATI VITOTO VIDOGO VIBICHI MJINI VIMEJAZANA KAMA VYOTE?

MBONA UNAKUWA NA AKILI ZA KIJIMA U NGALI KIJANA MDOGO?

MBONA UNATUAIBISHA WANAUME WENZIO?
Wewe mkuu ujawahi kumuona ila naimani ukimuona lazima hata wewe utachanganyikiwa naimani hvo
 
Ah poor brain kabisa.
 
Daaah mkuu kiukweli umeongea kitu fact sana.
Kwa mantiki hiyo huyu single maza ambaye ana miaka 21 mi Awe for entertainment tuu sio nisiwe na papara nae ya kujenga maisha..

Nachukua ushauri wako kama ulivyo maana umeongelea suala la ushirikina nimeona kama kuna kitu kinaweza tokea kwangu maana najikuta napenda sana mashangazi na hawa watu hata sabbabu ya msingi sioni..

Juzi hapo nimetoka kumkataa mdada flani yaani ana vigezo vyote kuanzia matrako na u black buety sasa najiuliza kwann sijamwelewa nakuja kyzama kwa single maza...

Kingine mkuu kwa rika la sisi vijana rika la kujitafuta yaani ukikosea tyu kuwa na mwenza jua tayari ushapotezwa katika malengo yako.

Kumbuka vijana vituvinavyotutoa kwenye malengo ni pombe na wanawake na sitaki niwe miongoni mwao ndo maana nipo nafanya semen retention...
 
Hivi wanawake wengi hivi waliojaa umeshindwa kupata mmoja wa kuoa unakimbilia kwa singo maza eniwei fanya maamuzi wewe mwenyew siku kikinuka huko utakuja kupitia komenti moja moja huku
Mkuu ndio maana nipo hapa kupata ushauri ..
Unajua ishu inakuja ni kuwa nimependa mkuu wangu ila kuhusu kuoa sina uhakika

Ila nawaza je nikila nikaona ni mtamu kuliko antiel dorry mi tafanya nini...

Vishu Mtata nisaidie hapo tafanyaje
 
Mkuu, wewe zama tu kabisa mpaka kilindini mengine yatajulikana mbele ya safari.
 
Kusema sasa hv wewe ni roman..?
Toka lini umebadili et
Mbona unanichanganya..... 😀😀🙌🙌🙌
msabato ni yule mshangazi ulinisimulia kwaio umechanganya,,the way nna njaa ya mahusiano nakusamehe kiroho safi ili mengne yaendelee😌
 
msabato ni yule mshangazi ulinisimulia kwaio umechanganya,,the way nna njaa ya mahusiano nakusamehe kiroho safi ili mengne yaendelee😌
Kwanza ushamaliza kufanya usafi maana toka mda ule nakusubir wewe tuu..😬😬😬
Ulisema unamwagilia bustani badooo tyuu
 
Kwanza ushamaliza kufanya usafi maana toka mda ule nakusubir wewe tuu..😬😬😬
Ulisema unamwagilia bustani badooo tyuu
umechanganya tena,,namwagilia bustani na mvua hizi🙄🙄we ni wa kukukimbia na nisigeuke nyuma,,,kwanza nianze na kukuzodoa mwanaume unaandkaje tyuu
 
umechanganya tena,,namwagilia bustani na mvua hizi🙄🙄we ni wa kukukimbia na nisigeuke nyuma,,,kwanza nianze na kukuzodoa mwanaume unaandkaje tyuu
Ahahahha daaah wee ms r huwa unaniweza sana kudadek zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…