Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Kabisa hao ni chapa ilale achana kabisa na hiyo mikosi ya single mother hata awe ni mwajiriwa ukijichanganya mbeleni utalia na unakuta na umri umeshakwenda
Mkuu umetisha sana ..
Hapa nafanya hvo ila itabidi nimchane ukweli ajue kuwa nipo nae temporary tuu
 
Neno single maza watu wanalichukulia ndivyo sivyo. Kama umemwelewa oa. Wengine tulibikiri tuliishia kuchapiwa na kuachwa.
 
ndio mtue tena mtupeleke taifa na watoto wetu mtupige mawe mpaka tufe. mkishindwa mtuchome kwenye moto kama matofali
Mimi siwezi fanya hvo maana mimi ndo nimezama dada angu..
Uwezi amini huyu mtu nikiona lipsi zake tuu nasahau kila kitu
 
Neno single maza watu wanalichukulia ndivyo sivyo. Kama umemwelewa oa. Wengine tulibikiri tuliishia kuchapiwa na kuachwa.
Daaah mkuu asante sana kwa ushauri wako but swala la kuoa daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…