Elias K
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 213
- 607
Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi
WASIFU WANGU:
1. Nina miaka 25
2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and Management (nilisomeshwa na wasamaria wema na baada ya kuhitimu msaada wao umekomea hapo, wazazi wangu walishatangulia mbele ya haki nikiwa mtoto)
3. Najua kuitumia computer
4. Sina mke wala mpenzi na kwa Hali yangu hii simuhitaji kwa sasa
5. Ni mchapakazi na muelewa.
6. Kwa sasa nipo Arusha, Usa- River Ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote hapa nchini
KAZI NINAZOPEDELEA
1. Kufyatua na kusimamia saiti za matofali
2. Kusimamia mashamba
3. Kuuza maduka.
4. Kazi za viwandani, japo nimezinguka sana Arusha bila kuzipata.
Nitakuwa tayari kuthibitisha taarifa zangu zote mtakazohitaji ilimradi nipate msaada
NIKIPATA SHIRIKA LA KUJITOLEA KWA UJIRA WA CHAKULA NA MALAZI TU, NINGEFURAHI ZAIDI.
Naombeni msaada