Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

Barabara ya kufika kwenye mafanikio ni ngumu.....
Hali ya Sasa ya ajira tz Ina changamoto nyingi na itachukua muda kukaa sawa kwahiyo nikushauri weka elimu yako pembeni

Unatakiwa kujua una kitu gani Ambacho unapenda kufanya na unaweza kukifanya kutoka ndani ya moyo wako ( Elimu uliyopata shule weka pembeni) ....weka Nia peke yako ( Usifanye kwa ajili ya pesa kwanza au kwa kua Fulani anafanya)

Tafuta watu ambao wanafanya hicho kitu na uanze kujichanganya nao ( mwanzo wake utakua mgumu kwa Mf. Kukukataa kujoin nao) lakini baada ya muda Mungu atakuonyesha njia

Epuka kuona Elimu yako Ina thamani kuliko haao unaojichanganya nao hata Kam Wana Elimu ndogo kwako

Najua mwanzo utapata changamoto za maneno mabaya ya kukatisha tamaa lakini usichoke kwa yupo Mungu anakuangalia subira yako

NB: Epuka kukaa peke yako muda mrefu na kulala.
Shukrani sana mkuu
 
Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi

WASIFU WANGU:
1. Nina miaka 25
2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and Management (nilisomeshwa na wasamaria wema na baada ya kuhitimu msaada wao umekomea hapo, wazazi wangu walishatangulia mbele ya haki nikiwa mtoto)
3. Najua kuitumia computer
4. Sina mke wala mpenzi na kwa Hali yangu hii simuhitaji kwa sasa
5. Ni mchapakazi na muelewa.
6. Kwa sasa nipo Arusha, Usa- River Ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote hapa nchini

KAZI NINAZOPEDELEA
1. Kufyatua na kusimamia saiti za matofali
2. Kusimamia mashamba
3. Kuuza maduka.
4. Kazi za viwandani, japo nimezinguka sana Arusha bila kuzipata.
Nitakuwa tayari kuthibitisha taarifa zangu zote mtakazohitaji ilimradi nipate msaada

NIKIPATA SHIRIKA LA KUJITOLEA KWA UJIRA WA CHAKULA NA MALAZI TU, NINGEFURAHI ZAIDI.

Naombeni msaada

Wajanja wanaomba ndoano na sio samaki, big up and all the best.
 
Afuate huu ushauri wako
 
Life is how u make it simple ysni hahitaji uchawi, jifunze namna ya kucheza karata zako
 
Katika umri sawa nyakati tofauti
Mji ulele
Ni kiwa ndo nimemaliza chuo(nakuacha madeni kila kona)

Nikiwa namalizia research nilifikiria vitu vingi vya kufanya kujinasua nkaona mambo na kazi nyingi zilitakiwa niwe na mtaji au konection wakati sikua na chochote (ata ela ya kubind niliunga vibaya mno, achana na nauli, ilikua kazi sana.) Wala sikua na yoyote.

Basi siku ya 3 baada yakupumzika hom kwa Bro Mushono, nikaingia mjin nilikua na visimu vidogo viwili nikaulizia maduka ya wamachinga apo mmjin nkaeka bondi simu yangu moja nkachukua betri za elfu mbili mbili 4,

Nkaenda ofisi ya Airtel nkaomba kua msajili nkapewa code na line za kuanzia nkaingia mitaani
.siku ya 3 nkawa nishaikomboa simu yangu na nina mtaji wa betri 10

The rest is history.
safi sana huu ndo uchakarikaji, usikate tamaa mapema utafika tuu!
 
Watu wote niliowapa namba PM hawajanitafuta[emoji3064][emoji3064][emoji3526]
Hata siku haijaisha umeanza kulalamika kuwa wote uliowatumia namba hakuna alie kutafuta.

Jifunze kuwa na uvumilivu maana watu sio kwamba wako mtandaoni mda wote. Hata kama ni CV ulikuwa umetuma sehemu lazima watachukua mda kukuita kwenye usahili.

Kitu kingine inaonela

Kitu kingine inaonekana una pride fulani hivi. Unaonekana jinsi unavyokuja PM
 
Bwana bwana na Mimi leo nitoe yangu kidogo;
Ilikuwa mwaka 2019 nimemaliza chuo kikuu nje ya nchi nikatinga Tanzania. Nilikuwa na kimtaji kiasi kwa hiyo wakati nasaka ajira nilikuwa napiga biashara biashara bila uzoefu wowote, mara papu mtaji ukaisha baada ya kama mwaka hivi na ajira hakuna hata matumaini japo nilipiga Hadi level ya masters degree.
Sasa bwana nikawa nimeamua tu kuoa maana umri nao ulikuwa unaota mabawa. Wakati naona kuna rafiki yangu niliyesoma naye kutoka Ireland akawa amenitumia kama 2M hivi lakini kama unavyojua maswala ya kwenda ukweni, kununua hiki na kile n.k hii pesa nayo ilifika wakati ikaisha japo nilijaribu kununua mpunga wa 1M na bahati mbaya hata haukupanda bei hata buku.

Kizungumkuti kikaja wakati wife ana ujauzito kama miezi 7 kwenda 8, ndani nina 100K tu bado kodi, msosi, na mazagazaga mengine. Basi bwana nikaona hapa njia ni moja tu.
Asubuhi moja nikachukua 50K wife nikampatia 50K nikamuaga nikamwambia kuna mchongo nimepata sehemu naenda. Nikapanda lori kigumukigumu toka Dar hadi Mwanza kisha nikaingia Sirari. Kwanini Sirari? Niliona mchongo niliokuwa nao kichwani kama nikifanyia Dar au Mwanza itakuwa issue sana kwani mara kibao nilikuwa nakutana na washikaji nilipiga nao shule na chuo hapa Tz kabla sijapata mchongo wa scholarship.
Haya sasa nimeingia Sirari kule naamini kabisa kukutana na mtu anayenijua ukizingatia mkoa naotokea ni nadra sana. Nimefika kule nikiwa na 10K, namshukuru dereva wa Lori niliongea naye kiutu-uzima akanifikisha Mwanza tokea Dar kwa 30K.
Kufika Sirari nikalala guest ya 4K nikala 1K nikawa na balance ya 5K, hapo nimeshamwomba dogo langu ambaye yuko chuo walau kiasi kidogo lakini naye anazingua sana japo nilimsupport sana wakati nipo Europe.
Imefika asubuhi kazi yenyewe nilikuwa nawaza “KUSUKUMA TOROLI” dadeq. Bahati nzuri mimi huwa nina bahati ya kuwahi kuaminiwa na watu kwa hiyo kuna jamaa niliongea naye vema akakubali nikae kwake kwa siku kadhaa wakati najipanga. Mungu ambariki sana. Bwana bwana baada kama ya siku tatu huyu jamaa akanikopesha pesa nikanunua toroli nikaingia barabarani. A masters degree holder from a well recognized and highly respected university in the United Kingdom. Unaweza dhania ni hadithi lakini trust me nilifikia hatua hii.

Sasa kizungumkuti kikawa ni kupata wateja, kila mtu akiwa na mzigo anawaita wengine ambao tumepack matoroli pamoja, pengine nadhani kwa kuniangalia walijua vema ningeweza kuwa charge zaidi hivyo waliangalia wale wenye hali ya chini sana kimwonekano. Kazi ikawa ngumu sana. Wife 50K imeisha, bado mwezi mmoja ajifungue, huku hata nauli ya kurudi Dar sina.

Kama baada ya siku mbili hivi nikawa napiga stori na jamaa hivi naye Mungu ambariki. Nikamshirikisha wakati nilionao. Jamaa bwana akanipa wazo na akaniunganisha na mtu mwingine. Wazo lenyewe sasa, kwa kuwa nina passport ni rahisi kuingia Kenya kutokea Sirari. Kule inabidi nifuate MIRAA au mchicha kama hii kitu wanavoiita. Haki ya Mungu kwa wakati ule niliona kama NEEMA ya Mungu. Kesho yake nikajiandaa mapema mapema jamaa akanipatia cash ya Kenya safari ikaanza bwana. Mimi ilikuwa kwamba nahakikisha mzigo unafika Sirari. Mimi nikamuuga jamaa yangu aliyenipokea japo sikumwambia kama nafuata miraa Kenya badala yake nilimwambia naenda kupakia mzigo kwenye gari kule na kushusha tena Sirari kwa hiyo nitapata pesa.

Aliyesema Mungu si Athumani alikuwa sahihi bwana. Mzigo nikafikisha na nikapata kama 200K hivi. Mara 2nd round mara 3rd. Nikawa na kama 500K ikabidi nitume 400K kwa ajili ya maandalizi yote ya kujifungua wife ikiwa ni pamoja na kumsafirisha bimkubwa kutoka bush ili aende kusaidia kwani ndo ilikuwa uzao wa kwanza.
Mungu anisamehe hii kazi nilipiga karibu mwezi mzima na nusu nikapata pesa nzuri na kuja Dar kwa ajili ya kuwa na wife wakati anajifungua. Kweli nimefika ndani ya week akajifungua na ndani ya week hiyo hiyo nikapata mchongo halali na hadi sasa nimeajiriwa na maisha yanaenda poa sana.

HUU NI USHUHUDA TU SIYO USHAURI.

Aquila non capit muscas!
 
Hapa nachotaka niseme ni hiki;
1. Maisha hayana huruma kwa yatima wala kwa mwenye wazazi, kwa mlemavu wala kwa mtu mzima, kwa msomi wala kwa asiyemsomi, kwa mdogo wala kwa mzee

2. Elimu haina nafasi kubwa wakati wa kusaka maisha; sahau kama ulisoma na ikiwezekana badili mazingira nenda sehemu tofauti unapoweza kufanya kazi yoyote kwa uhuru.

3. Nimesukuma toroli na kushusha mizigo kwenye magari nikiwa na masters degree, unaweza pia kufanya hivyo na diploma yako.

4. Mungu anamsaidia yule anayejisaidia, amekupigania kwa kukupatia wasamaria wema kukusomesha hadi sasa miaka 25! Sasa Mungu anahangaika na yatima wengine wanaotaka msaada zaidi.

5. Kuna Mtu ametoa ushauri mzuri sana humu; jichanganye na watu wanaofanya day work kama washusha mizigo, mwanzoni wataktenga ila kuwa mwema na mpole taratibu utapenya, ukishapata hata laki moja tu inatosha kuanza biashara ya mtunda na itakulipa.

6. Mawazo ya kutafuta kazi ya kupata walau chakula tu na malazi siyo mawazo chanya kwa umri wako, kwa sasa una nguvu zitumie; ingia hata machimboni ukapige kazi huko. Mimi kuna wakati nilisitisha hadi kutumia smartphone baada ya maisha kunichapa za uso.

7. Mwisho zingatia haya ukiwa mnyonge maisha hayatakuhurumia hata kidogo, yaani ukilialia ndo maisha yanakuchapa hadi unachanganyikiwa. Pambana mwanaume maandiko yanasema mwanaume atakula kwa jasho siyo kwa kalamu.

Mungu akusaidie

Nimekuelewa mkuu. Ila samahani kwa kuonesha pride kwa namna yeyote maana hailikuwa kusudio langu, please nipo chini ya miguu yako 🙏🏿
 
Hatari!
 
Mkuu jiajiri kama dalali tu wa mitandaoni.

mimi ndio kazi inanifanya niishi. Ajira kama huna mtu wa kukushika.mkono ni changamoto, labda ukafanye kazi za ulinzi.

mfano kuna jamaa humu jf alikuwa anauza projector kwa 150,000

ikakaa miezi miwili.bila mteja,, akashusha.mpaka elfu 50, ehee nikaona dili.

nikampigia.simu tukaelewana, nitafute mteja bei ninayojua, 50 yake siigusi. Akakubali

Projector baada ya siku 3 nikapata mteja kwa 130,000!

nikaiuza, jamaa akawa.mwaminifu akanitumia elfu 80,000 akabaki na 50,000 yake
Huyo jamaa ni mkristo muaminifu kama si mwislamu aisee! Mmbongo upate hela zaidi yake akurushie na mali ni yake? Hapo mbona angelazimisha we ndio akupe elfu 50 tu 😂😂😂
 
Hapa nachotaka niseme ni hiki;
1. Maisha hayana huruma kwa yatima wala kwa mwenye wazazi, kwa mlemavu wala kwa mtu mzima, kwa msomi wala kwa asiyemsomi, kwa mdogo wala kwa mzee

2. Elimu haina nafasi kubwa wakati wa kusaka maisha; sahau kama ulisoma na ikiwezekana badili mazingira nenda sehemu tofauti unapoweza kufanya kazi yoyote kwa uhuru.

3. Nimesukuma toroli na kushusha mizigo kwenye magari nikiwa na masters degree, unaweza pia kufanya hivyo na diploma yako.

4. Mungu anamsaidia yule anayejisaidia, amekupigania kwa kukupatia wasamaria wema kukusomesha hadi sasa miaka 25! Sasa Mungu anahangaika na yatima wengine wanaotaka msaada zaidi.

5. Kuna Mtu ametoa ushauri mzuri sana humu; jichanganye na watu wanaofanya day work kama washusha mizigo, mwanzoni wataktenga ila kuwa mwema na mpole taratibu utapenya, ukishapata hata laki moja tu inatosha kuanza biashara ya mtunda na itakulipa.

6. Mawazo ya kutafuta kazi ya kupata walau chakula tu na malazi siyo mawazo chanya kwa umri wako, kwa sasa una nguvu zitumie; ingia hata machimboni ukapige kazi huko. Mimi kuna wakati nilisitisha hadi kutumia smartphone baada ya maisha kunichapa za uso.

7. Mwisho zingatia haya ukiwa mnyonge maisha hayatakuhurumia hata kidogo, yaani ukilialia ndo maisha yanakuchapa hadi unachanganyikiwa. Pambana mwanaume maandiko yanasema mwanaume atakula kwa jasho siyo kwa kalamu.

Mungu akusaidie

Aquila non capit muscas!
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri 🙏🏿
 
Huyo jamaa ni mkristo muaminifu kama si mwislamu aisee! Mmbongo upate hela zaidi yake akurushie na mali ni yake? Hapo mbona angelazimisha we ndio akupe elfu 50 tu 😂😂😂
Jamaa ni gentleman aisee hata mimi sikuamini kabisa..

namshauri dogo hapo juu atumie bando lake vizuri, atapata tu vihela vya kujikimu huku akizoea kazi. One day atapiga bingo kali atasahau kila kitu
 
Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi

WASIFU WANGU:
1. Nina miaka 25
2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and Management (nilisomeshwa na wasamaria wema na baada ya kuhitimu msaada wao umekomea hapo, wazazi wangu walishatangulia mbele ya haki nikiwa mtoto)
3. Najua kuitumia computer
4. Sina mke wala mpenzi na kwa Hali yangu hii simuhitaji kwa sasa
5. Ni mchapakazi na muelewa.
6. Kwa sasa nipo Arusha, Usa- River Ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote hapa nchini

KAZI NINAZOPEDELEA
1. Kufyatua na kusimamia saiti za matofali
2. Kusimamia mashamba
3. Kuuza maduka.
4. Kazi za viwandani, japo nimezinguka sana Arusha bila kuzipata.
Nitakuwa tayari kuthibitisha taarifa zangu zote mtakazohitaji ilimradi nipate msaada

NIKIPATA SHIRIKA LA KUJITOLEA KWA UJIRA WA CHAKULA NA MALAZI TU, NINGEFURAHI ZAIDI.

Naombeni msaada
1634064522840.png

JARIBU HII KK
 
Nimekuelewa mkuu. Ila samahani kwa kuonesha pride kwa namna yeyote maana hailikuwa kusudio langu, please nipo chini ya miguu yako [emoji1545]
Acha kuni please sio poa.
Nitakutafuta soon kwa sasa nimetingwa na Kazi na nilipo siwezi kukupigia maana namba yako haiko WhatsApp na nilipo gharama za kupiga simu TZ ni noma; cha msingi anza kutafuta Nauli. Ya kukufikisha japo Dar au usubiri nije Arusha.
 
Bwana bwana na Mimi leo nitoe yangu kidogo;
Ilikuwa mwaka 2019 nimemaliza chuo kikuu nje ya nchi nikatinga Tanzania. Nilikuwa na kimtaji kiasi kwa hiyo wakati nasaka ajira nilikuwa napiga biashara biashara bila uzoefu wowote, mara papu mtaji ukaisha baada ya kama mwaka hivi na ajira hakuna hata matumaini japo nilipiga Hadi level ya masters degree.
Sasa bwana nikawa nimeamua tu kuoa maana umri nao ulikuwa unaota mabawa. Wakati naona kuna rafiki yangu niliyesoma naye kutoka Ireland akawa amenitumia kama 2M hivi lakini kama unavyojua maswala ya kwenda ukweni, kununua hiki na kile n.k hii pesa nayo ilifika wakati ikaisha japo nilijaribu kununua mpunga wa 1M na bahati mbaya hata haukupanda bei hata buku.

Kizungumkuti kikaja wakati wife ana ujauzito kama miezi 7 kwenda 8, ndani nina 100K tu bado kodi, msosi, na mazagazaga mengine. Basi bwana nikaona hapa njia ni moja tu.
Asubuhi moja nikachukua 50K wife nikampatia 50K nikamuaga nikamwambia kuna mchongo nimepata sehemu naenda. Nikapanda lori kigumukigumu toka Dar hadi Mwanza kisha nikaingia Sirari. Kwanini Sirari? Niliona mchongo niliokuwa nao kichwani kama nikifanyia Dar au Mwanza itakuwa issue sana kwani mara kibao nilikuwa nakutana na washikaji nilipiga nao shule na chuo hapa Tz kabla sijapata mchongo wa scholarship.
Haya sasa nimeingia Sirari kule naamini kabisa kukutana na mtu anayenijua ukizingatia mkoa naotokea ni nadra sana. Nimefika kule nikiwa na 10K, namshukuru dereva wa Lori niliongea naye kiutu-uzima akanifikisha Mwanza tokea Dar kwa 30K.
Kufika Sirari nikalala guest ya 4K nikala 1K nikawa na balance ya 5K, hapo nimeshamwomba dogo langu ambaye yuko chuo walau kiasi kidogo lakini naye anazingua sana japo nilimsupport sana wakati nipo Europe.
Imefika asubuhi kazi yenyewe nilikuwa nawaza “KUSUKUMA TOROLI” dadeq. Bahati nzuri mimi huwa nina bahati ya kuwahi kuaminiwa na watu kwa hiyo kuna jamaa niliongea naye vema akakubali nikae kwake kwa siku kadhaa wakati najipanga. Mungu ambariki sana. Bwana bwana baada kama ya siku tatu huyu jamaa akanikopesha pesa nikanunua toroli nikaingia barabarani. A masters degree holder from a well recognized and highly respected university in the United Kingdom. Unaweza dhania ni hadithi lakini trust me nilifikia hatua hii.

Sasa kizungumkuti kikawa ni kupata wateja, kila mtu akiwa na mzigo anawaita wengine ambao tumepack matoroli pamoja, pengine nadhani kwa kuniangalia walijua vema ningeweza kuwa charge zaidi hivyo waliangalia wale wenye hali ya chini sana kimwonekano. Kazi ikawa ngumu sana. Wife 50K imeisha, bado mwezi mmoja ajifungue, huku hata nauli ya kurudi Dar sina.

Kama baada ya siku mbili hivi nikawa napiga stori na jamaa hivi naye Mungu ambariki. Nikamshirikisha wakati nilionao. Jamaa bwana akanipa wazo na akaniunganisha na mtu mwingine. Wazo lenyewe sasa, kwa kuwa nina passport ni rahisi kuingia Kenya kutokea Sirari. Kule inabidi nifuate MIRAA au mchicha kama hii kitu wanavoiita. Haki ya Mungu kwa wakati ule niliona kama NEEMA ya Mungu. Kesho yake nikajiandaa mapema mapema jamaa akanipatia cash ya Kenya safari ikaanza bwana. Mimi ilikuwa kwamba nahakikisha mzigo unafika Sirari. Mimi nikamuuga jamaa yangu aliyenipokea japo sikumwambia kama nafuata miraa Kenya badala yake nilimwambia naenda kupakia mzigo kwenye gari kule na kushusha tena Sirari kwa hiyo nitapata pesa.

Aliyesema Mungu si Athumani alikuwa sahihi bwana. Mzigo nikafikisha na nikapata kama 200K hivi. Mara 2nd round mara 3rd. Nikawa na kama 500K ikabidi nitume 400K kwa ajili ya maandalizi yote ya kujifungua wife ikiwa ni pamoja na kumsafirisha bimkubwa kutoka bush ili aende kusaidia kwani ndo ilikuwa uzao wa kwanza.
Mungu anisamehe hii kazi nilipiga karibu mwezi mzima na nusu nikapata pesa nzuri na kuja Dar kwa ajili ya kuwa na wife wakati anajifungua. Kweli nimefika ndani ya week akajifungua na ndani ya week hiyo hiyo nikapata mchongo halali na hadi sasa nimeajiriwa na maisha yanaenda poa sana.

HUU NI USHUHUDA TU SIYO USHAURI.

Aquila non capit muscas!
Daaah! Mkuu sina neno kwakweli ni moto mkali sana.
 
Back
Top Bottom