Kwenye nyakati ngumu kama hizi,
Usisite kufanya mambo matatu, na yote kwa wakati mmoja,
Kwasababu naamin yanasaidiana kwa pamoja mpaka pale utakapojiweza.
1. Omba kwa Mungu wako. Na pia Omba msaada kwa watu wako wa karibu.(connection, malazi na chakula).
2. Tafuta kazi yoyote kwa bidii , anza na unayodhan inayokufaa. (Hapa Tengeneza Cv yako vizir na jaribu kuuliza kazi huku na kule ) bila kuchoka.
3. Usisite kusema Magumu unayopitia kwa watu. Maana huwez jua msaada wako utatoka kwa nani.
Kila la kheri na mitihan ya maisha
Sent from my Infinix X657B using
JamiiForums mobile app