FactsKumotivate mtu na kumpa way foward for free ni jambo kubwa iwe realy au sound....!
Mzee kama haujapitia izi Mbanga za Mwanaukome uwezi elawa,
kama umekuta mitaro ipo ogelea tu na mshukuru Mungu,
wengine tunapitia moto mkali kubreak poverty cycle
Nilianzs na mayai mawili sasa nins kuku 20000 pumbaaavuKatika umri sawa nyakati tofauti
Mji ulele
Ni kiwa ndo nimemaliza chuo(nakuacha madeni kila kona)
Nikiwa namalizia research nilifikiria vitu vingi vya kufanya kujinasua nkaona mambo na kazi nyingi zilitakiwa niwe na mtaji au konection wakati sikua na chochote (ata ela ya kubind niliunga vibaya mno, achana na nauli, ilikua kazi sana.) Wala sikua na yoyote.
Basi siku ya 3 baada yakupumzika hom kwa Bro Mushono, nikaingia mjin nilikua na visimu vidogo viwili nikaulizia maduka ya wamachinga apo mmjin nkaeka bondi simu yangu moja nkachukua betri za elfu mbili mbili 4,
Nkaenda ofisi ya Airtel nkaomba kua msajili nkapewa code na line za kuanzia nkaingia mitaani
.siku ya 3 nkawa nishaikomboa simu yangu na nina mtaji wa betri 10
The rest is history.
Uwezi kuamini izo betri 10 nilizi dampu kwa elfu nkapata 50000 siku ya nne kwa asira nilizokua nazo nkaenda kunywa na kuchukua mraaa nkaamka asubui n ela ya supu....Nilianzs na mayai mawili sasa nins kuku 20000 pumbaaavu
Ahsante nduguKwenye nyakati ngumu kama hizi,
Usisite kufanya mambo matatu, na yote kwa wakati mmoja,
Kwasababu naamin yanasaidiana kwa pamoja mpaka pale utakapojiweza.
1. Omba kwa Mungu wako. Na pia Omba msaada kwa watu wako wa karibu.(connection, malazi na chakula).
2. Tafuta kazi yoyote kwa bidii , anza na unayodhan inayokufaa. (Hapa Tengeneza Cv yako vizir na jaribu kuuliza kazi huku na kule ) bila kuchoka.
3. Usisite kusema Magumu unayopitia kwa watu. Maana huwez jua msaada wako utatoka kwa nani.
Kila la kheri na mitihan ya maisha
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
😂😂😂 sasa hivi wamehamia kwenye VanillaNyie motivation speakers huwa mna sound sana
Hadi A to Z, ama Sunflag umekosa??Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi
WASIFU WANGU:
1. Nina miaka 25
2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and Management (nilisomeshwa na wasamaria wema na baada ya kuhitimu msaada wao umekomea hapo, wazazi wangu walishatangulia mbele ya haki nikiwa mtoto)
3. Najua kuitumia computer
4. Sina mke wala mpenzi na kwa Hali yangu hii simuhitaji kwa sasa
5. Ni mchapakazi na muelewa.
6. Kwa sasa nipo Arusha, Usa- River Ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote hapa nchini
KAZI NINAZOPEDELEA
1. Kufyatua na kusimamia saiti za matofali
2. Kusimamia mashamba
3. Kuuza maduka.
4. Kazi za viwandani, japo nimezinguka sana Arusha bila kuzipata.
Nitakuwa tayari kuthibitisha taarifa zangu zote mtakazohitaji ilimradi nipate msaada
NIKIPATA SHIRIKA LA KUJITOLEA KWA UJIRA WA CHAKULA NA MALAZI TU, NINGEFURAHI ZAIDI.
Naombeni msaada
Mkuu jiajiri kama dalali tu wa mitandaoni.Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi
WASIFU WANGU:
1. Nina miaka 25
2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and Management (nilisomeshwa na wasamaria wema na baada ya kuhitimu msaada wao umekomea hapo, wazazi wangu walishatangulia mbele ya haki nikiwa mtoto)
3. Najua kuitumia computer
4. Sina mke wala mpenzi na kwa Hali yangu hii simuhitaji kwa sasa
5. Ni mchapakazi na muelewa.
6. Kwa sasa nipo Arusha, Usa- River Ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote hapa nchini
KAZI NINAZOPEDELEA
1. Kufyatua na kusimamia saiti za matofali
2. Kusimamia mashamba
3. Kuuza maduka.
4. Kazi za viwandani, japo nimezinguka sana Arusha bila kuzipata.
Nitakuwa tayari kuthibitisha taarifa zangu zote mtakazohitaji ilimradi nipate msaada
NIKIPATA SHIRIKA LA KUJITOLEA KWA UJIRA WA CHAKULA NA MALAZI TU, NINGEFURAHI ZAIDI.
Naombeni msaada
Vumilia, ukifikisha miaka 30 mambo yataanza kukaa sawa yenyewe.Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi
WASIFU WANGU:
1. Nina miaka 25
2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and Management (nilisomeshwa na wasamaria wema na baada ya kuhitimu msaada wao umekomea hapo, wazazi wangu walishatangulia mbele ya haki nikiwa mtoto)
3. Najua kuitumia computer
4. Sina mke wala mpenzi na kwa Hali yangu hii simuhitaji kwa sasa
5. Ni mchapakazi na muelewa.
6. Kwa sasa nipo Arusha, Usa- River Ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote hapa nchini
KAZI NINAZOPEDELEA
1. Kufyatua na kusimamia saiti za matofali
2. Kusimamia mashamba
3. Kuuza maduka.
4. Kazi za viwandani, japo nimezinguka sana Arusha bila kuzipata.
Nitakuwa tayari kuthibitisha taarifa zangu zote mtakazohitaji ilimradi nipate msaada
NIKIPATA SHIRIKA LA KUJITOLEA KWA UJIRA WA CHAKULA NA MALAZI TU, NINGEFURAHI ZAIDI.
Naombeni msaada
Kwenye hizo kampuni ni ngumu mno, bora awe chinga kitaaPia mkuu jaribu kuomba kuji VOLUNTEER kwenye kampuni za tourism /safaris huko arusha hata ukiapata zile za wageni..
You never know unaweza uspate pesa lakini ukatengeneza connection .. ukajikita unapewa kitengo na kula na kulala kwako isiwe tabu
Duuh! Ndio shida ya hapa bongo.. hata kuji volunteers au kuomba field bila connection bado hukafanikiwa..!Kwenye hizo kampuni ni ngumu mno, bora awe chinga kitaa
Nimekuja PM mkuuKijana nimekusoma vizuri sana. Kama kweli unaweza kufanya Kazi hizo ulizosema bila shida njoo tuyajenge.
Kazi nitakayo kupa ni ya kusimamia Shamba, kikubwa hapa ni uaminifu. Kazi hii nikuweke wazi itakuwa ya mkataba, yaani malipo ni baaada ya msimu kuisha; nasema hivi kwa sababu vijana wengi ujinpa Kazi akafanya miezi kadhaa akaona amepata mtaji badi anatelekeza Kazi zako.
Kama unajua utakuwa mwaminifu nirafute nikupe kazi na kutakuwa na incentive pia
Hiyo kitu ni zamani Sahiv hakunaga hizo mamboDuuh! Ndio shida ya hapa bongo.. hata kuji volunteers au kuomba field bila connection bado hukafanikiwa..!
Anyway ni bora akajaribu kampuni kadhaa huenda akafanikiwa!
Wengi mnoo tulijiunga jf kwa imani ya kupigwa tafu kama hizi.. Yote ninegundua "it posible but not too easy" kam tulivyojuw tunadhani. Mi nkushaur jitoe ufaham hasaaaaa.. Kama kuna vibopa sijui kwa kina lowasa sijui kwa mzeee wa ruksa tafuta appointment nao ukaongee nao!. This hardest thing you didn't think about BUt believe inWatu wote niliowapa namba PM hawajanitafuta[emoji3064][emoji3064][emoji3526]
Ungekuwa dar ningekupeleka kwa mzee wa ruksa hadi getini hata mara 7 tumuone "bi siti" au tungembahatisha ridhwanWengi mnoo tulijiunga jf kwa imani ya kupigwa tafu kama hizi.. Yote ninegundua "it posible but not too easy" kam tulivyojuw tunadhani. Mi nkushaur jitoe ufaham hasaaaaa.. Kama kuna vibopa sijui kwa kina lowasa sijui kwa mzeee wa ruksa tafuta appointment nao ukaongee nao!. This hardest thing you didn't think about BUt believe in