Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

Acha huu ujinga ulishapitwa na wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana udhoefu[emoji13]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hivi ndo vitu vinatuangusha wakati mwingine! Mtu anafikiri ndo anatoa maelezo ya ziada ya β€œkujiuza β€œ kwenye soko la ajira, kumbe ndo anaharibu! Kwa level yake ya Diploma na kazi alizowahi kufanya alipaswa ktk β€œkujinadi β€œ asitaje mambo ya management skills+udhoefu!
 
[emoji16]
 
Fursa fursa fursa za kazi.
Alhamdulillah hapa Abraar Complex Kuna fursa kadhaa za kazi zimejitokeza.
Tunahitaji:
1) Mafundi ujenzi (waashi) wazoefu.
2) wasimamizi wa ujenzi (site foreman).
3) Mafundi seremala wazoefu.
4) Mafundi bomba wazoefu.
5) Fundi welder.
6) Wahasibu wasaidizi.
7) Wasaidizi na au wanafunzi Kwa vitendo wa fani zote hizo.
Kazi hizo zote zipo Misugusugu, Kibaha, Mkoa wa Pwani. Mtaa wa Vitendo. Anaehitaji fursa hizo akubali kuhamia karibu na kituo cha kazi, mafunzo, atachopangiwa.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul Ghafur 0625249605.
 
Namba 6 ingenifaa lakini sijajua kama mnatoa chakula
 
Ufupi wangu umenikosesha kazi duuuuuh!
 
Mkuu, nimeenda ofisi zao nikaambiwa hawapokei vijana kwa sasa, nimepiga hii namba akapokea dada mmoja nikajieleza Kisha akaniambia nisikate simu Ili awapigie wahusika, akawapigia lakini simu imeita bila kupokelewa, ndipo nikaambiwa simu za wahusika zipo busy
 
Hii namba nimepiga nikajieleza Kisha ikakatwa, nilipopiga Tena haijapokelewa
 
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, ni wadau wa ujenzi wa kisasa, tuna kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ujenzi za kisasa na Tunahitaji mafundi ujenzi, kuanzia wa kiwandani kwenye uzalishaji mpaka kwenye ufundi wenyewe. Tuinahitaji mafundi wa viwango tofauti, kuanzia wanaohitaji kujifundisha ujenzi mpaka wale wazoefu wa kusimamia kazi. Tupo very strict kwa ubora. Kama unapenda kufanya kazi na watu wenye kujali ubora wa kazi za ufundi, nidhamu za kazi za ufundi na mwenye kujali miiko ya kazi za ufundi na sio uwingi wa kazi basi wasiliana nasi.

Pia tupo tayari kuongea na vikundi au makampuni na madalali wa mafundi ujenzi namna ya kushirikiana.

Kwa maelezo zaidi fika tuonane ana kwa ana au tuma WhatsApp 0625249605. Tupo, Mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha, Pwani. Tanzania.
 
Labda ni mtandao tu, hatuna tabia za kudharau na kuwakatia simu wadau.

Umeandika vizuri sana.
Niliwah kupoteza 15m kwenye biashara flani hivi
Ujasiri ndio ulinisaidia hama arusha fanya unavoweza nenda dar au dodoma utanishukur cku moja.
 
Sisi tunaitwa Madrassatul Abraar, ni wadau wa ujenzi wa kisasa, tuna kiwanda cha kuzalisha bidhaa za ujenzi za kisasa na Tunahitaji mafundi ujenzi, kuanzia wa kiwandani kwenye uzalishaji mpaka kwenye ufundi wenyewe. Tuinahitaji mafundi wa viwango tofauti, kuanzia wanaohitaji kujifundisha ujenzi mpaka wale wazoefu wa kusimamia kazi. Tupo very strict kwa ubora. Kama unapenda kufanya kazi na watu wenye kujali ubora wa kazi za ufundi, nidhamu za kazi za ufundi na mwenye kujali miiko ya kazi za ufundi na sio uwingi wa kazi basi wasiliana nasi.

Pia tupo tayari kuongea na vikundi au makampuni na madalali wa mafundi ujenzi namna ya kushirikiana.

Kwa maelezo zaidi fika tuonane ana kwa ana au tuma WhatsApp 0625249605. Tupo, Mtaa wa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Kibaha, Pwani. Tanzania.
 
Wanajamii mimi forklift operator elimu kidato Cha sita pia ni dereva naombeni msaada yeyote anayejua kuna kiwanda au warehouse au kampuni yoyote ambayo nkienda kuomba naweza kupata kazi aniambie. Iwe Dar, Pwani, Tanga, Moro nafika 0623736996 mwenye connection
 
Mawasiliano yako Mkuu ? Au naomba nicheki 0656391899
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…