Nimezodolewa na manesi

duh :doh:.. msamehe.. ibaki story tu! kubali kshafa za manesi msitiri mkeo kutokana na hiyo aibu..
 
Hapo ulimaanisha faraja kweli au busara........... mi ningekaa kimya kwa muda
wanasema silent is a big weapon ............
 
 

Unajuaje wauguzi wapo sahihi? yawezekana mkeo aumwa aina fulani ya fistula.......................chukua hatua ya kutafuta ushauri wa kitaalamu au vinginevyo utafikia maamuzi yasiyo ya kitaalamu..........................
 
Kutokwa na kinyesi wakati wa kujifungua si jambo geni. Mm nimeshashuhudia na kuxmuliwa na watu wengi tu kuwa walishatokewa na hali hiyo na si kwa kuwa wamekuwa tigolized.
Unajua kutokana na asilimia kubwa ya huo mchezo umeshamiri ndo maana manesi wakasema hivyo. Mm siamini kama mkeo ana tabia hiyo. Ingekuwa ana hiyo tabia basi ucngemkuta bikra.

Anyway,hebu jaribu kuichomekea kat maongezi kama vile unashangazwa na hiyo kitu kwa sababu imeenea sana kwa watu wenye mahusiano uone reaction yake usoni. Kama ataonyesha hofu ujue kuwa amehisi umemshtukia. Kama atakuwa normal ujue hana huo mchezo.

Usimuhukumu wala kumbadilikia jaribu kudodosa indirectly ili upate ukweli.

Pole sana bujibuji.
 
Hivi kwa nini hamtaki kukubali kuwa manesi wengi ni vihiyo?
 
hivi kwa nini hamtaki kukubali kuwa manesi wengi ni vihiyo?

ni kweli kabisa. Sijui ni kwanini watu waliofanya vibaya ndo wanaruhusiwa kufanya kazi nyeti kama hii. Kuna wengine wana failure kabisa kwenye results slip zao lakini ndo hao wanaohusika na kunusuru maisha yetu. Jamani serikali ibadili huu mfumo.
 
Jamani wamama semeni ukweli,kazi ya kusukuma mtoto ni ngumu sana. Na wao huwa wanasema "sukuma kama vile unataka kunya" sasa kama ulikuwa umeshiba au kinyesi kipo karibu kitaacha kutoka? Mimi kwa kweli nlishindwa kabisa kusukuma ikabidi wanikamue tumboni. Hebu tujaribu kuwa wakweli zaidi hapa.
 
eti Luv Bujibuji si anatuchakachua na hii story mbona kama ya kutunga vile?
na wewe umeshtukia eeeee, but kanasisimua sana, ni kama vile ndio yamekutokea sasa unatakiwa ufanye maamuzi yaliyo sahihi, very challenge kwa maisha ya sasa.... ila kweli yanatokea haya jamani
 
Bujibuji huo ni uzembe mkubwa, haiwezekani ukashindwa kujua mkeo kama alikuwa anagawa tigo yake nje!ukiwa unasex na mkeo kama huwa analiwa tigo nje utajua tu, there are some signs..........we vipi bana bujibuji acha uzembe!

what are the signs?
 
Bujibuji usisumbke ingekuwa na wewe tigo ni chakula chako ingekuwa haina noma. Lakini kwakuwa hulagi na kuliwa tigo ni sawa na kula nyama ya mtu huwezi kuacha basi huyo mkeoataendelea kuliwa daima dumu. Sasa atakuwa analiwa na nani? FANYA MAAMUZI.
 
BORA UMEJUA ALIKUA ANACHAKACHULIWA UWANI,JE UNGESHUHUDIA ANACHAKACHULIWA CHUMBANI UPUMZIKAPO WEWE UNGEJISIKIAJE YAANI UWANJA WA NYUMBANI UNAPODAI SIKU YA UFUNGUZI ULIKUWA MGENI RASMI:doh:
 
 
Ndg kumbuka manesi wengi ni wa kuchakachuliwa na kwa sababu hako kamchezo ka tigo kameeneo mdomoni kwa sana kama mafisadi wa tanzania kutoka sisiem kwa hiyo jaribu kumwona Daktari wa akina mama atakusaidia kuchunguza isije kuwa ni ugonjwa au alikuwa katoa tu ya kawaida maana huwa inatokea kwa akina mama wengi wapojifungua.Kwa hiyo kwa sababu ya hao manesi feki walipoona kinyesi basi wakakimbilia tigoliced,usichukue maamuzi ya haraka kabisa
 
Doogy style ikoje, hebu weka picha hapa.
 
Bujibuji
pole sana ndugu yangu, ndoa ina mambo mengi sana, yakufurahisha na kushangaza na kutia machungu
wanachokuambia manesi kuna mambo mengi ya kutafakari kama baba mwenye busara na hekima
1) inawezekana mama ana matatizo ya kimaumbile (
2) inawezekana manesi wameingiliwa na pepo la kuvuruga ndoa yako, hata kam hawakujui, shetani anaijua ndoa yenu
3) inawezekana pia kuwa mkeo ana tabia isiyorodhisha
sasa fanya yafuatayo
1) mchukue mkeo na mwanao kipenzi mliozawadiwa na Mungu kwa ajili ya kumlea
2) mama usimmulize chochote kwani utakavyo mchanganya inaathari sana kwa mtoto kipindi hiki cha mwanzo -pia kama ni kweli utamdhuru mama na mtoto, na kama si kweli utamdhuru pia
3) chukua hatua kwa busara na utulivu wa hali ya juu kulipa muda suala hili ukitafuta ukweli...... kwani ukweli haufichwi...hata uikifichwa utatatafuta njia wenyewe kujitokeza. be bold at this time huko ndiko kukomaa kam baba....tafadhali usikurupuke wala kupanick, give it time

you know what might happen.. when you loose a family it is almost imposible to recover it. ....tafakari chukua hatua.

pole sana kwa hiki mzee!! ndo unakomaa kwenye matatizo they ar there to harden us!!
3)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…