Nimfanyeje mke wangu aipende na kuifurahia harufu ya sigara isimkere, Ndoa bado Changa

UNCLE wangu kaoa Mhindi wa Punjab, sasa huyu mwanamke alivyokuwa na mjamzito alikuwa akipenda sana harufu ya sigara, alikuwa akimuuliza Uncle kila mara We vipi mbona husmoke kama Wanaume wenzio? Mpaka ikawa kero

Basi akawa analetewa zile sigara za Gold Flake za Pakistan hlf akawa anawasha tu ili mkewe afurahi🀣
 
Tangaza dau , mkubwa.
Kwanini unafanya hitimisho kwa hisia.

My dear
Siko hapa kutangaza dau au kuhitaji huduma.
Mi ni bonge na nusu la mama nikikuhitaji huwezi kuchomoa ki vyovyote vile.
Na sijilizi kwenye comment nikikuhitaji nakufuata live pm.
Na nina uhakika pesa ya kunihonga huna,,, mwenye pesa hana kelele ya kutoa milio ya dau wenzio wanaweka cheque namba inaokotewa bank.
 
S
Sawa
Mai dia.
ila kwenye haya maelezo hapa chini umejisifia hadi umepitiliza.

nikikuhitaji huwezi kuchomoa ki vyovyote vile.
Na sijilizi kwenye comment nikikuhitaji nakufuata.

Mimi binafsi huwezi kunipata kama sijakuhitaji. Labda wadau wengine.
 
Umemjibu vyema huyu kiumbe.
 
Ushauri mzuri huu.
 
Chagua kati ya haya:
1. Uache kuvuta
2. Umfundishe na yeye awe mwanachama
3. Uachane nae
Hakuna uchaguzi bali:
1. Aendelee kuvuta, Lakini avute kistaarabu
2. Amechelewa -samaki mkunje akingali mbichi.
3. Hakuolewa ili aje kumwachisha mjomba kuvuta sigara. Anaweza kuachana naye kama hana kile kilichomfanya amuoe.
 
Sigara za nini? Jiamini . Chanzo kikuu cha mtu kujiingiza kwenye kuvuta sigara ni kutokujiamini kuwa amekuwa ..hivyo utafuta vitu ambavyo vitamfanya aonekane amekuwa na mwamba , kumbe ni upumbavu wa kuto kujiamini.
Kutokujiamini kwenye lipi? Zingatia kwamba wavutaji wengine walianza kuvuta tangu wakiwa shule ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…