Mpe pesa tu hakuna shortcutHii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Wakati wa uchumba alikuwa hajui kama wewe ni Chimney? Hakuna jinsi ya mtu kufurahia harufu asiyoipenda, hapo ni wewe tu kujitahidi kujiweka safi unapovuta sigara ,mbona February Marope anipiga sigara sana na ukikaa naye hauwezi kujua kama anapiga sigara kwa kwenda mbele?Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Mapafu ni yake na anakufa nayo, huyo mwanamke ni wa wote tu ni swala la mudaMapafu ni yako na mke ni wako, kupanga ni kuchagua
Kwanini uvute sigara utoe harufu?Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
S
Sawa
Mai dia.
ila kwenye haya maelezo hapa chini umejisifia hadi umepitiliza.
nikikuhitaji huwezi kuchomoa ki vyovyote vile.
Na sijilizi kwenye comment nikikuhitaji nakufuata.
Mimi binafsi huwezi kunipata kama sijakuhitaji. Labda wadau wengine.
Umemjibu vyema huyu kiumbe.
🚮🚮🚮Umemjibu vyema huyu kiumbe.
Sasa kwanini zinauzwa ilhali hazina faida?
Kwahiyo mvutaji hapati faida yoyote anapovuta sigara?Faida ipo kwenye pesa, haipo kwenye afya. Hata sumu zinazoweza kumwua mwanadamu zinauzwa. Hivyo ni wewe ndiye unayetakiwa kuamua ununue kitu chenye kukuletea afya njema au cha kukuua taratibu. Baada ya baadhi ya watumiaji kupata madhara makubwa ya kiafya na kugundulika kuwa yalitokana na uvutaji sigara, na kisha kuamua kuyashtaki makampuni yanayotengeneza sigara, na kisha makampuni ya sigara kulipishwa gharama kubwa, ndiyo sababu iliyofanya makampuni yote ya utengenezaji sigara kulazimika kuandika kwenye sigara, "sigara ni hatari kwa afya yako", hivyo ukipata madhara huwezi kuwashtaki watengenezaji kwa sababu uliambiwa wazi kuwa ina madhara mabaya kwa afya yako, nawe kwa uamuzi wako uliamua kuiharibu afya yako.
Lakini pia Serikali karibia zote Duniani, zimepiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani, unatakiwa utafute eneo ambalo halina watu ndiyo uende ukavutie huko hiyo sumu yako. Hapa kwetu, japo sheria hiyo ipo lakini usimamiaji wake haupo vizuri. Kuna baadhi ya nchi ukipatikana unavuta sigara hadharani unakamatwa na kushtakiwa.
Faida pekee anayoipata mvutaji ni kuharakisha kuiharibu afya yake. Ni kama mtu anayechukua kamba kujinyonga, huwezi kumzuia, lakini akijinyonga, anapata faida gani?Kwahiyo mvutaji hapati faida yoyote anapovuta sigara?
Kabisa yaani wanakuwaga na harufu isiyoisha kamwe labda wale wanaoanza anza ila wale waliokubuhu. Mmh.shida ya sigara siyo mdomo tu, ni mwili mzima unanuka sigara, jasho linalotoka limechanganyika na sigara, nguo zinanuka sigara, pumzi inanuka sigara..!
Hakika tunastahili kupongezwa mana kuna baadhi ya tabia wanaume wanazo hadi kuna muda unashangaa kama ana mke anazivumiliaje.hakuna kiumbe ana uvumilivu kama mwanamke..!🙌🏾
Nimekumiss pia sana Sis Shaddie..!Kabisa yaani wanakuwaga na harufu isiyoisha kamwe labda wale wanaoanza anza ila wale waliokubuhu. Mmh.
Hakika tunastahili kupongezwa mana kuna baadhi ya tabia wanaume wanazo hadi kuna muda unashangaa kama ana mke anazivumiliaje.
I hope uko poa. I miss u mdogo wangu.