Nimpeleke mtoto shule ya milioni 1.5 au hela nimuwekezee UTT au hisa?

Serikali ya Russia na Tanzania zilitumia makaratasi kugharamia elimu yako? Elimu ni gharama HAIPINGIKI.
 
Huku chini hawa watoto wanahitaji uangalizi na msingi mzuri sana.Wajue lugha vyema,na uelewa upanuke

Form 1 kayumba sawa
 
Serikali ya Russia na Tanzania zilitumia makaratasi kugharamia elimu yako? Elimu ni gharama HAIPINGIKI.
Gharama unazoengelea ni zipo Sasa yaani mie kulipiwa em 4M ama kusomeshwa elimu ya juu, sikia elimu ni sawa na bima ya afya tunalipa Kodi watanzania hizo hizo zinakuja kusaidia watu. Kujenga Barabara ama kuletewa maji ama umeme hizo ni huduma basic kwa watu na sharing cost.
Mie siamini kuwa kutumia hela nyingi kulipa ada kuwa ndio mtt anakuwa na uwezo Kama hapendi kusoma ni tizi kubwa ama hana uwezo wa kusoma hata mazingira yangekuwa Kama binguni hawezi toboa.
Tabora boys tulifaulu Ila mchango wa mwalimu ni Kama hakuna kabisa
 
100% Fact
 
Kijana umesoma Tabora ila uelewa wako ni duni mno. Hujui kuwa binadamu tunatofautiana? Kuna wanaosoma special schools na kuna wanaosoma MEMKWA ila wote wanatafuta elimu.
 
Mpeleke hio shule ya 1.5m halafu endelea kumuwekea hio 1.5m huku utt.
 
Mnahangaika sana aisee.

Anyways mpeleke mtoto Kayumba, ndio uwezo wa baba yake unalingana huko. Don't stretch too much, utataabika

1.5m kwa mwaka ndio ya kufungulia uzi JF? Tena juu ya elimu ya mtoto?
125,000 kwa mwezi.
 
Mpeleke azimio sm. Hizo fedha peleka utt
 
We jamaa umesoma Urusi ipi hata kauandika tu ni shida?

Mbona unataka kutuchota hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…