imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Siasa za kijinga tu ndio zinaweza kufanya haya wanayofanya hawa wachunga Ng'ombeSiasa zinapooyesha misuli dhidi ya sayansi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa za kijinga tu ndio zinaweza kufanya haya wanayofanya hawa wachunga Ng'ombeSiasa zinapooyesha misuli dhidi ya sayansi.
TewaaaaTumeingia choo cha kike
Huyu Profesa kila siku anazidi kuwa na hekima inayoendana kabisa na umri wake, majukumu yake, elimu yake na hadhi yake. Amenifurahisha sana jana, Yaani unaona kabisa kuwa huyu mtu yuko katika kiwango kile anachotakiwa kuwa na amesoma na akaelimika. Huyu mtu ameelimika, tuseme tu ule ukweliMkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19....
Suala hapa sio "population" , tatizo ni juu ya ubora na uhakika wa chanjo zenyewe bado hakuna uhakika, ndio maana hata marekani yenyewe hawana uhakika juu ya chanjo gani raia wake watumie, Ujerumani, Ufaransa bado kuna "debate" juu ya chanjo gani ndio ya uhakika zaidi.Hii si sababu ya kutosha.
Wakati unafanya huo utafiti.
Fikiria:
1: Population ya taifa husika
2: Size ya taifa husika
3: Ugonjwa ulisambaa kiasi gani kabla ya chanjo?
4: Priority amepewa nani kwanza?
Hii si zima moto.
Kikubwa kabisa alichosema Profesa Mgaya jana ni kuwaMkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19....
Ongelea nafsi yako..usiongelee sisi.. inawezekana kuna mbumbumbu wengine kama wewe ila usitumie kauli za sisi watanzania, kuna wengine tunajielewa!sisi watanzania hatutaki chanzo ambazo ni za kulazimishwa! hivi hao wanao tushinikiza kutumia hiyo chanjo ndio wana thamini zaidi uhai wetu kuliko sisi wenyewe?! tafakari kwa makini.
Jamaa anaijali afya yako pia!Ongelea nafsi yako..usiongelee sisi.. inawezekana kuna mbumbumbu wengine kama wewe ila usitumie kauli za sisi watanzania, kuna wengine tunajielewa!
Hata kile kichupa cha dawa ya Bupiji inayopigiwa debe na rais na Muhimbili ina maandishi madogo sana ambayo no vigumu kusoma kwa macho ya kawaidaMkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19.
Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo zimetumika toka enzi za mababu zetu zinafanyiwa utafiti na wanasayansi wetu kupitia baadhi ya hospitali zetu, amesema.
Prof Mgaya amesema chanjo za magharibi zinazotumika sasa huko duniani hazijathibitisha kukinga covid 19 kwahiyo nazo ziko kwenye utafiti ila zikileta madhara hakuna taasisi itakayolipa fidia.
Prof Mgaya amewataka wananchi watakaofanikiwa kuona kichupa cha chanjo za ulaya wasome kwa makini maandishi yote wataona namna wawekezaji wanavyokana kulipa fidia endapo tatizo lolote litatokea.
Prof Yunus Mgaya alikuwa skiwakilisha mada chuo kikuu cha Dar es salaam katika kongamano linaloongozwa na Dr Rioba na kurushwa mubashara na TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Yanasemaje?Hata kile kichupa cha dawa ya Bupiji inayopigiwa debe na rais na Muhimbili ina maandishi madogo sana ambayo no vigumu kusoma kwa macho ya kawaida
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Yaani hawa viongozi wetu wanatuonaga na sie (wananchi) wote pia ni hamnazo kama wao...hawajui tunawachora tu kwakuwa uwezo wa kuwafanya hatuna!.Vipi ile ya Madagascar ina ubora?
Mlisema mnaenda kuifanyia utafiti maabara je majibu yalikuwaje??
Acha kubetua makalio juu kwa jambo usilolijua, kitaalam (sayansi) magonjwa yote yenye tabia za mlipuko kama korona, kipindupindu nk yana nyakati huwa maambukizi na madhara huwa ni makubwa zaidi, so sio nyakati zote madhara huwa juu...kutegemeana na mazingira ya nyakati hizo.Hivi mkuu, tokea vifo vifululize hapa inapita wiki kama tatu sasa na, Ni lini tena Chadema wazee wa kuripoti habari za misiba wamefanya hivyo??
Kaa kimya tuionyeshe Dunia namna Bora ya kushughurikia milipuko ya magonjwa
Unachokizungumzia kitaaluma tunakiita Clinical trial na inakua na clearance zake unapewa certificate pia na hata kwa wanyama hua tunapata consent ya mmiliki endapo mnyama atakua included kwenye study na ikitokea shida hulipwa pia....Kikubwa kabisa alichosema Profesa Mgaya jana ni kuwa
Baada ya utafiti huo, chanjo hiyo ikishapatikana ndiyo hapo sasa sisi tutatakiwa kutoa pesa kununua chanjo hiyo, iwapo tu bado tutakuwa tunaihitaji
- Hiki kilichopo sasa kinachosemekana kuwa ni chanjo siyo chanjo bali ni utafiti kwa ajili ya kupata chanjo
- Kawaida, utafiti kwa ajili ya kupata chanjo huwa unalipiwa na wale wanaofanya utafiti huo, wanatkiwa kulipa pesa kwa ajili ya kupata taarifa za utafiti wao
- Kwa hiyo kama tukikubali Tanzania kuletwa kwa chanjo hiyo ambayo bado ipo kwenye utafiti, sisi ndiyo tunatakiwa kulipwa na watafiti hao
- Yule anayeleta chanjo hiyo ya utafiti inabidi atupe chanjo hiyo bure na pia atulipe, na siyo sisi kununua chanjo hiyo
Mkuu Prof Mgaya hawezi lingana na watafiti wa huko nje hata kwa chembe.Prof. Mgaya namheshimu sana. Lakini akubali kuwa tafiti za chanjo zilizofanyika duniani zimefanywa na wataalam kama yeye. Sasa hoja yake ya kuzidharau inaanzia wapi? Teknolojia zinaongezeka kila leo duniani. Tafiti za kuchukua miaka 10 ili kuokoa maisha zimepitwa sana na wakati. NIMR nawapongeza kwa dhati kwa kutupatia products (natural) ambazo zinatufaa katika kipindi kifupi (chini ya miezi 6). Tafiti za Ki-Sayansi zinapingwa kwa tafiti za kisayansi na si vinginevyo. Porojo za Kisiasa uchwara tuziache katika hoja kubwa jamani
Dokta, how long does it take kwa chanjo kupitia stages zote hizo hadi kuwa confirmed kuwa ni chanjo sahihi kwa ungonjwa husika, ukizingatia kuwa Covid-19 is younger than 1.5 a year? Unachomaanisha wewe hapa ni kwamba chanjo hiyo iko sahahi na imepitia stages zote zinatzotakiwa, si ndiyo?.Unachokizungumzia kitaaluma tunakiita Clinical trial na inakua na clearance zake unapewa certificate pia na hata kwa wanyama hua tunapata consent ya mmiliki endapo mnyama atakua included kwenye study na ikitokea shida hulipwa pia....
Chanjo ya Covid -19 ishavuka pre -clinical trials sasa tuko post marketing surveillance ajabu watu bado wanaishi zama za mawe kuamini chanjo yaweza kuingia kwenye market bila kufanya clinical trial phase 1-4 na muda huo wanapokea ARV's na na Chanjo lukuki za watoto
Huyo ni mwajiriwa wa uvccm au (MATAPA) Make Tanzania Poor Again, kazi yao ni kuwa mitandaoni/kwenye tv kumsifia JiweMzee unashinda kwenye tv kuanzia asubuhi mpk saa sita usiku [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Clinical trial zinachukua miaka 3 hadi 6 ila lengo kuu la clinical trial ni kuestablish uhakika kuhusu usalama wa mtumiajiDokta, how long does it take kwa chanjo kupitia stages zote hizo hadi kuwa confirmed kuwa ni chanjo sahihi kwa ungonjwa husika, ukizingatia kuwa Covid-19 is younger than 1.5 a year? Unachomaanisha wewe hapa ni kwamba chanjo hiyo iko sahahi na imepitia stages zote zinatzotakiwa, si ndiyo?.