Unamaanisha Magu?Shukrani sana kwa taarifa,ngoja tusubiri majibu ya mkemia mkuu.
Ni hivi: Siyo kila mtu anayepata virus wa corona anafariki. Infact wengi ndiyo wanapona. Kwa hiyo hao wanaosema kuwa ''wamepona'' kwa kutumia malimau, tangawizi etc.. hata kama wasingetumia wangepona.Wametengeneza baada ya na wao kusikia kuwa zinasaidia sasa wamechukua nafasi kupiga biashara kiuraini... watanzania wengi wamepona kwa kutumia malimau na tangawizi pia kwa radha ya asali
Nadhani ameachiwa!Hapo nimeona ingredients na pipili kichaa imo!! Swali je yule mtanzania aliyekamatwa kwakushauri watu watumia pilipili ataachiwa?
Shukrani sana kwa taarifa,ngoja tusubiri majibu ya mkemia mkuu.
Kama ndivyo ni vizuriNadhani ameachiwa!
Una maanisha wazungu tuu ndio wanaweza au nimekuelewa vibaya?
Pongezi kwa NIMRI
Akili kama za kwako ni afadhari kuondoka duniani,kupunguza uchafu. Mzungu ni nani mpaka umtukuze na kujidharau? Jinga kabisa
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Mkuu usiape kitu chochote ukiwa bado una siku za kuishiHata kama nikipata hiyo Corona Mimi na family yangu mwiko kutumia hiyo dawa ya ccm.
Mkuu usiape kitu chochote ukiwa bado una siku za kuishi
Hahahaaa nimecheka wewe na familia yako.
Tarehe 8.05.2020 mwisho wa matumiz aiseeeHahaha angalie best before!!! Tutalishana sumu!