NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

Hapo nimeona ingredients na pipili kichaa imo!! Swali je yule mtanzania aliyekamatwa kwakushauri watu watumia pilipili ataachiwa?
 
Wametengeneza baada ya na wao kusikia kuwa zinasaidia sasa wamechukua nafasi kupiga biashara kiuraini... watanzania wengi wamepona kwa kutumia malimau na tangawizi pia kwa radha ya asali
Ni hivi: Siyo kila mtu anayepata virus wa corona anafariki. Infact wengi ndiyo wanapona. Kwa hiyo hao wanaosema kuwa ''wamepona'' kwa kutumia malimau, tangawizi etc.. hata kama wasingetumia wangepona.

Hawa virus wakimshika mtu ambaye kwa sababu moja au nyingine yuko kwenye kundi hatarishi hata kama angetumia malimau na tangawizi etc namna gani haponi.

Mtu wa namna hii anatakiwa apate msaada wa vifaa vya kupumua wakati mapafu yake yameshambuliwa na hayafanyi kazi sawa sawa na yakiweza kupigana na wale virus na yaki-recover ndiyo msaada wa kupumulia uondelewe.
 
Akili kama za kwako ni afadhari kuondoka duniani,kupunguza uchafu. Mzungu ni nani mpaka umtukuze na kujidharau? Jinga kabisa

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Mzungu ni mzungu, taka usitake lakini habari ndio hiyo.
 
Hivi yule mwanafunzi bado wamemkamata. Yule mwanafunzi ni Biologist mzuri kwa kweli.
 
Hata kama nikipata hiyo Corona Mimi na family yangu mwiko kutumia hiyo dawa ya ccm.
Mkuu usiape kitu chochote ukiwa bado una siku za kuishi
Hahahaaa nimecheka wewe na familia yako.
 
Kuna kijana alikamatwa alielezea nafikiri ingredients za kutibu korona...ila yeye nafikiri ali base sana kwenye kula Pilipili kichaa kwa wingi..hakukosea kumbe😀
 
😂😂😂 huu utani mbaya sana.
Anyways, tumeokoa gharama maana hatupeleki tena ndege Madagascar.
 
Sasa hapo wana utofauti gani na waganga wa kienyeji. hizo elimu zao za Phd zimeonyesha utofauti gani na darasa la 7.

maana kila mtanzania sasa hivi anajua kwamba ukila limao na tangawizi inapunguza ukali wa corona.

waache kubahatisha mambo,halaf badae watu wakifa wataanza kuleta siasa kwamba wamekosea masharti ndio maana wamekufa.

Hapo Nimr wanatapatapa tu ili kulinda vibarua vyao na hakuna cha maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom