Nina 65M nifanye biashara gani?

Umenitamanisha ebu njo inbox
 
Hata ukipewa wazo la biashara kitu cha kwanza lazima uijue hiyo biashara kwa kulifanyia tafiti hilo wazo la biashara na kuliandikia mpango wa biashara ,(andiko la biashara),

Not any idea is born perfect give a chance to grow,

Siyo kila wazo la biashara utalimudu ni lazima ulifanyie utafiti wa kutosha ili usiingizwe mkenge, ushauri siyo kila mtu anaweza kufanya biashara lazima uwe na sifa za mjasiriamali kama huna hata sifa moja hutaweza kufanya biashara yoyote, inatakiwa uzitambue hizo sifa na kuziishi, (traits)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…