Nina 65M nifanye biashara gani?

Nina 65M nifanye biashara gani?

Fuga nguruwe mkuu hio million 65 n mtaj wakunenepesha nguruwe 650,, TAFUTA HELA YA KUNUNUA NGURUWE 65 majike yenye mimba na kila jike lisipungue chuchu 10,, ktk unenepeshaji wa hao 650 n zoezi la miez 4 unenepeshaji,, miez 3 mimba na miez 4 niku wanenepesha,,, mkuu hakuna atakaye kuwa chin ya uzito wa 55 kwa breed ntakayo kushauri tuchukue chek profile lang hapo hio breed n konkiii,, mm huk nakoish hesabu ya jumla bei ya soseji kiwandan TUNAUZA SH 7500,, hesabu yet sasa 7500×55kg=412500 hapa n kwa 1 sasa twende kwenye uwekezaji wetu 412500×650=268125000 mkuu upo serious ntafute nikupe location NGURUWE UHAKIKA
Umenitamanisha ebu njo inbox
 
Hata ukipewa wazo la biashara kitu cha kwanza lazima uijue hiyo biashara kwa kulifanyia tafiti hilo wazo la biashara na kuliandikia mpango wa biashara ,(andiko la biashara),

Not any idea is born perfect give a chance to grow,

Siyo kila wazo la biashara utalimudu ni lazima ulifanyie utafiti wa kutosha ili usiingizwe mkenge, ushauri siyo kila mtu anaweza kufanya biashara lazima uwe na sifa za mjasiriamali kama huna hata sifa moja hutaweza kufanya biashara yoyote, inatakiwa uzitambue hizo sifa na kuziishi, (traits)
 
Back
Top Bottom