Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

kyesha

Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
40
Reaction score
66
Habari za Mida Wakuu.
Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo
( yaani Kama kunakitu kimeganda)

Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu

Naombeni Ushauri nitumie Dawa Gani au nifanye nini?
siipendi hii Hali
Updates!!!!
Mimi sio mtu wa wanawake ,sinaga hizo tabia chafu za kulamba mauchafu chafu ninakinyaaa kinoma, inshort siwezi fanya (fanyiwa ) huo ujinga
 
Jaribu ku goggle (maji + chumvi ya mawe). Inaweza kilusaidia pia tumia mwani kuboresha uwepo wa madini mwilini.
Alafu boresha lishe
 
Habari za Mida Wakuu.
Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo
( yaani Kama kunakitu kimeganda)

Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu

Naombeni Ushauri nitumie Dawa Gani au nifanye nini?
siipendi hii Hali
Mkuu umeshapima Kaswende, HIV, Human Papiloma virus?

Wewe si ndio ulikuwa unatama uume wako usimame kama msumari?
 
Wala usitishwe na watu, hiyo maana yake unatema mate chooni, acha mara moja
 
Back
Top Bottom