Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hakuna sehemu inaacha mama unazama uvunguniEeeh io HPV inavamia hadi kooni?
Hakuna sehemu inaacha mama unazama uvunguniEeeh io HPV inavamia hadi kooni?
Hapana,ila nashangaa itatibiwaje hukooooHakuna sehemu inaacha mama unazama uvunguni
Ile sehemu ni nyevu nyevu na ina mabilioni ya bakteria na virusi. Na kila mwezi inatoa uchafu kutoka mwilini. Halafu jitu zima na akili zake linajikunja kuitafuna linafakamia mpaka likinyanyua kichwa linaonekana kama paka anayekunywa maziwa mabichi; na kama mwanamke ana PID ni maziwa ya mtindi tena ule wenye mabonge mabonge mazito. Matokeo yake ndo haya sasa.Endeleeni kulamba visivyolambwa
Ushauri mzuri,, kwakweli sijawahi suckle wala suckleliwa,,na sitakiiiiIle sehemu ni nyevu nyevu na ina mabilioni ya bakteria na virusi. Na kila mwezi inatoa uchafu kutoka mwilini. Halafu jitu zima na akili zake linajikunja kuitafuna linafakamia mpaka likinyanyua kichwa linaonekana kama paka anayekunywa maziwa mabichi; na kama mwanamke ana PID ni maziwa ya mtindi tena ule wenye mabonge mabonge mazito. Matokeo yake ndo haya sasa.
Kuna epidemic ya kansa ya koo na mdomo; na wanaume wa makamo tu (below 45) wanateketea hatari. Wanasayansi wanasema ukizama chumvini kwa wanawake wanaozidi watano maishani mwako, kuna uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya koo huko mbele ya safari maana unakuwa umechanganya virusi vya HPV vya kila aina. Kama ni lazima uzame chumvini basi angalau uzame kwa mwanamke yule yule uliyemzoea. Lakini mijitu haisikii...
Habari njema ni kwamba kansa hii inatibika hasa ikiwahiwa. Sema sasa ubaya wake ni kansa inayokua pole pole sana (miaka mitano+) na wakati mwingine ukianza kuhisi dalili kama mleta mada tayari inakuwa imeshasambaa na kufika kwenye lymph nodes, shingoni na hata kwenye ubongo na uti wa mgongo. Hapo ni kuimba parapanda tu hakuna kingine.
Stop licking pussy guys. They are dirty meat sheaths, unhealthy, ugly and loaded with billions and billions of fauna. Just f*ck them and go, and wear a condom whenever possible 😡😡😡 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
View attachment 3387359
Mijitu mibishi, sehemu ambayo wanashauriwa uvae condom ila yenyewe inataka kuweka vinywa vyao..!! 🥹Ile sehemu ni nyevu nyevu na ina mabilioni ya bakteria na virusi. Na kila mwezi inatoa uchafu kutoka mwilini. Halafu jitu zima na akili zake linajikunja kuitafuna linafakamia mpaka likinyanyua kichwa linaonekana kama paka anayekunywa maziwa mabichi; na kama mwanamke ana PID ni maziwa ya mtindi tena ule wenye mabonge mabonge mazito. Matokeo yake ndo haya sasa.
Kuna epidemic ya kansa ya koo na mdomo; na wanaume wa makamo tu (below 45) wanateketea hatari. Wanasayansi wanasema ukizama chumvini kwa wanawake wanaozidi watano maishani mwako, kuna uwezekano mkubwa wa kupata kansa ya koo huko mbele ya safari maana unakuwa umechanganya virusi vya HPV vya kila aina. Kama ni lazima uzame chumvini basi angalau uzame kwa mwanamke yule yule uliyemzoea. Lakini mijitu haisikii...
Habari njema ni kwamba kansa hii inatibika hasa ikiwahiwa. Sema sasa ubaya wake ni kansa inayokua pole pole sana (miaka mitano+) na wakati mwingine ukianza kuhisi dalili kama mleta mada tayari inakuwa imeshasambaa na kufika kwenye lymph nodes, shingoni na hata kwenye ubongo na uti wa mgongo. Hapo ni kuimba parapanda tu hakuna kingine.
Stop licking pussy guys. They are dirty meat sheaths, unhealthy, ugly and loaded with billions and billions of fauna. Just f*ck them and go, and wear a condom whenever possible 😡😡😡 🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
View attachment 3387359
Mfumo wa wanaume uko closed; na hivyo si hatari sana kama wa kwenu ambao uko open. Kwa hivyo kansa ya koo inashambulia zaidi wanaume. Wanaume pia ndiyo watumiaji wakuu wa bidhaa za tumbaku mf. sigara, majani ya tumbaku na ugoro, pamoja na unywaji wa pombe kupindukia. Vyote hivi vinachochea kansa za koo na kinywa.Ushauri mzuri,, kwakweli sijawahi suckle wala suckleliwa,,na sitakiiii
Una uhakika unameza Vizuri na humezi upande mmoja ?Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu
Eti tundu la samadi😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾,watu wanausodoma humo vyumbani kumbe,ivi kunawatu wapo wanafanya ivo saiv,wanazikaanga kansa kilaiiiiiniiiiMfumo wa wanaume uko closed; na hivyo si hatari sana kama wa kwenu ambao uko open. Kwa hivyo kansa ya koo inashambulia zaidi wanaume. Wanaume pia ndiyo watumiaji wakuu wa bidhaa za tumbaku mf. sigara, majani ya tumbaku na ugoro, pamoja na unywaji wa pombe kupindukia. Vyote hivi vinachochea kansa za koo na kinywa.
Kuhusu oral sex kama kisababishi, sasa fikiria kuna mijitu inafakamia mpaka na lile tundu la kutolea samadi. Hapo yaani ni miksa ya virusi hatari hata mix by Yas ikasome. Na vyote mtu anafakamia kwenye koo na ulimi. Akiwa na immune system legelege miaka mitano - 15 ijayo akigonga 40 tu kinaumana! 😡
View attachment 3387402
Ai weitedi fo yu yestadei ezi wi agriidi bati yu didinti sho apu. Whai? Ai emu vere angri ati yu yangi ledi 😡😡😡Ushauri mzuri,, kwakweli sijawahi suckle wala suckleliwa,,na sitakiiii
kwanza shkamoo, unaonekana umezeeka had unapoteza kumbukumbu,swala la leo tu tayar unasema jana😂Ai weitedi fo yu yestadei ezi wi agriidi bati yu didinti sho apu. Whai? Ai emu vere angri ati yu yangi ledi 😡😡😡
Nooo! Ai emu raiti. Whea ai emu, iti izi orede yestadei. Donti agyu withi mi yangi redi 😂kwanza shkamoo, unaonekana umezeeka had unapoteza kumbukumbu,swala la leo tu tayar unasema jana😂
Hapa watu wanakomalia wanaonyonya papuchi ila hawataki kabisa kuongelea denda, utadhani ni tendo salama sana.
Mtu ukifikiria vizuri hakuna tendo hatari kama denda. Yaani mtu unakunywa mate ya mtu mwengine kuchukuchukuchu na ume relax kabisa. Aaaugghrr!!.
Inatibiwa kama kansa nyingine hospitalisasa inatibiwaje io