Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

Habari za Mida Wakuu.
Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo
( yaani Kama kunakitu kimeganda)

Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu

Naombeni Ushauri nitumie Dawa Gani au nifanye nini?
siipendi hii Hali
Updates!!!!
Mimi sio mtu wa wanawake ,sinaga hizo tabia chafu za kulamba mauchafu chafu ninakinyaaa kinoma, inshort siwezi fanya (fanyiwa ) huo ujinga
Ngoja tuondoe uzushi, eti bi dada kyesha una mapenzi ya kunyonya mboo mpaka kooni kabisa na unameza shahawa?
 
Niliwahi kuwa na hali ya koo kukauka usiku ni kunywa maji kwa sana , nilipiga dozi ya kutafuna vitunguu swaumu ingawa vinakera , tangawizi na kusukutua maji ya uvuguvugu yenye chumvi ya mawe hatimaye tatizo liliisha kwa sasa uwa napiga mara chache kama preventive dosage
Umesema vizuri sana. Hii ndio tiba kwa baadhi ya watu huwasaidia unless unatatizo serious zaidi.
Tupe mrejesho
 
Habari za Mida Wakuu.
Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo
( yaani Kama kunakitu kimeganda)

Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu

Naombeni Ushauri nitumie Dawa Gani au nifanye nini?
siipendi hii Hali
Updates!!!!
Mimi sio mtu wa wanawake ,sinaga hizo tabia chafu za kulamba mauchafu chafu ninakinyaaa kinoma, inshort siwezi fanya (fanyiwa ) huo ujinga
Jaribu kutumia mchanganyiko wa kitunguu saumu, tangawizi, limau na chumvi kidogo. Unatengeneza kama ka juice. Pia kunywa maji kwa wingi
 
Back
Top Bottom