Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

Nilivyo na kichefu chefu, nawezajee kufanya hivyoo? Khaaah.
Hapanaa kwa kwelii. Lol
mi hua najaribu nkishafeel ule ulaini wa ulimi na mdomo aaaaaah naghairi,,kinyaa😂😂
 
mi hua najaribu nkishafeel ule ulaini wa ulimi na mdomo aaaaaah naghairi,,kinyaa[emoji23][emoji23]
Denda mara chache sana, tena asafishe kinywa huku namsimamia.
Afuate maelekezo yangu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kupeana uchafu sitaki, thou now ashazoea ni touchin, bas game kwa hewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂Uchafuuuuu eti mapenzi ni uchafu chiiiii
 
[emoji23][emoji23]Uchafuuuuu eti mapenzi ni uchafu chiiiii
Aaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan mtu unalamba au kunyonyaa sehemu ambayo hujui imepitiwa na watu wangapi. Lol

Watu wana ujasiri sana, khaaah
 
Aaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan mtu unalamba au kunyonyaa sehemu ambayo hujui imepitiwa na watu wangapi. Lol

Watu wana ujasiri sana, khaaah
labda kuna utamu, itabidi kuonja😂😂
 
basi nitakuletea mrejesho [emoji23][emoji23]
Nausubiri mahii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usimtapikie kaka wa watu huko? Uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jaribu ku goggle (maji + chumvi ya mawe). Inaweza kilusaidia pia tumia mwani kuboresha uwepo wa madini mwilini.
Mkuu Nina chemsha na maji ya vugu vugu au? Hata maji ya baridi yanafaa?
 
Mkuu umeshapima Kaswende, HIV, Human Papiloma virus?

Wewe si ndio ulikuwa unatama uume wako usimame kama msumari?
Mimi sio mtu wa mademu

Nina afya isiyo na mawenge

Sinaga tabia chafu chafu kwenye maisha yangu
 
Nausubiri mahii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usimtapikie kaka wa watu huko? Uwiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Nimeenda kujaribu nikashindwa hakika
 
Niliwahi kuwa na hali ya koo kukauka usiku ni kunywa maji kwa sana , nilipiga dozi ya kutafuna vitunguu swaumu ingawa vinakera , tangawizi na kusukutua maji ya uvuguvugu yenye chumvi ya mawe hatimaye tatizo liliisha kwa sasa uwa napiga mara chache kama preventive dosage
 
Back
Top Bottom