. Ungejibu swali kama nilivyo uliza mkuu,Siku Kama Nne
Kwako acha koo liniume tu mchuchuEndeleeni kulamba visivyolambwa
Mkuu umeshapima Kaswende, HIV, Human Papiloma virus?Habari za Mida Wakuu.
Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo
( yaani Kama kunakitu kimeganda)
Sipati maumivu yoyoe wakati wa kula, Nameza vizuri tu
Naombeni Ushauri nitumie Dawa Gani au nifanye nini?
siipendi hii Hali
SahihiNenda hospitali kawaone wataalamu wa ENT na wa ENDOSCOPY. mmoja wapo kati ya hawa watakupa matibabu na utapona fasta ukifata mashariti.ππ
NB: NENDA HOSPITAL KUBWA YENYE VIPIMO
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endeleeni kulamba visivyolambwa
Eeeh io HPV inavamia hadi kooni?Mkuu umeshapima Kaswende, HIV, Human Papiloma virus?
Wewe si ndio ulikuwa unatama uume wako usimame kama msumari?
Ndio. Hasa kwa hawa lambalambaEeeh io HPV inavamia hadi kooni?
sasa inatibiwaje ioNdio. Hasa kwa hawa lambalamba