Nina changamoto kwenye Koo langu nikiwa Nina meza mate Kuna Kama utando kwenye Koo

Hio ni acid reflux mzee wala usiwaze una ulcers bila Shaka hio hali hata mimi ninayo utapata makohozi ambayo hayatoki.

Tiba ni kumaintain diet epuka vyakula vyenye acid acha stress basi.
 
Sahau kuhusu comment zote nenda kamuone Dr wa kinywa,koo na masikio utapata tiba

Hizi mbanga za kunyonyana Fanya kama hujaziona

Pole sana ,utapata tiba
 
Nenda hospital utapata majibu chanzo cha ugonjwa na tiba,ila kwa huduma ya kwanza nunua medioral duka lolote la dawa sukutua nayo,maelezo atakupa muuza dawa.pole upone haraka
 
Pa1 na ujanja wangu, sijawahi suck na sitaki kabisa mambo ya sucks.
Denda enyewee kwa ku force, nna kichefu chefu hatarii.

Jah aniepushe na magonjwa yanayo epukika km hayo. Lol
 
Inaogopeshaa hatariii. Lol
 
Denda sio kunywa mate, ni kubadilishana ndimi (ulimi).
Japo mie sio mpenzi wa oral sex, Aaah
 
Wahi site

Pima afya
 
Na hiv inalea sana Kansa

Kama pipa na mfuniko
 
Itakua unazama sana kule kunako acha mzee utapata kansa,chimvini watu hupendelea lakini sio kabisa
 
Hivyo vitu kwa akili ya kawaida ni kinyaa na uchafu lakini mkanza kuzagamua hivyo vyote ni asili na burudani bi ulevi usio na kifani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…