Nina GPA kubwa 4.1 ya Rasilimali watu(HR) ila kazi sipati

Wakuu natumaini mko poa.

Mimi ni graduate, jinsi Ke, nimemaliza mwaka 2022 degree ya Human Resource Management kwa ufaulu wa GPA ya 4.1.

Kabla ya kuhitimu nilishawahi kufanya practical training (field) kwenye taasisi ya serikali, hivyo nina ujuzi wa karibia miezi mitano.

Pia mwaka 2023 nilibahatika kupata kazi ya afisa masoko (ambayo ni nje ya career yangu) ambayo kiukweli ilikuwa na changamoto nyingi mno zilinipa stress nyingi plus mshahara mdogo mno unaoishia kwenye nauli.

Naomba yeyote mwenye connection ya kazi ya human resource anisaidie au hata kama una kampuni au unafanya kazi kwenye kampuni na ina uhitaji wa human resource/assistant human resource nipo tayari kufanya kazi.

Nina uwezo mzuri wa kufanya kazi (analytical and technical).

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja atakayesoma uzi huu.

Email: lovenessmartin0@gmail.com
Njoo PM unitumie Vyeti vyako,uwe tayari kufanya kazi mahali popote especially nje ya Dar
 
Wakuu natumaini mko poa.

Mimi ni graduate, jinsi Ke, nimemaliza mwaka 2022 degree ya Human Resource Management kwa ufaulu wa GPA ya 4.1.

Kabla ya kuhitimu nilishawahi kufanya practical training (field) kwenye taasisi ya serikali, hivyo nina ujuzi wa karibia miezi mitano.

Pia mwaka 2023 nilibahatika kupata kazi ya afisa masoko (ambayo ni nje ya career yangu) ambayo kiukweli ilikuwa na changamoto nyingi mno zilinipa stress nyingi plus mshahara mdogo mno unaoishia kwenye nauli.

Naomba yeyote mwenye connection ya kazi ya human resource anisaidie au hata kama una kampuni au unafanya kazi kwenye kampuni na ina uhitaji wa human resource/assistant human resource nipo tayari kufanya kazi.

Nina uwezo mzuri wa kufanya kazi (analytical and technical).

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja atakayesoma uzi huu.

Email: lovenessmartin0@gmail.com
Unadhani watu wanaajiri GPA?
 
Mkuu gpa hizo si huwa wanabaki chuo?wewe imekuwaje?
 
Njoo na wazo la kujiajiri mwenyewe , ukisema GPA kwamba ni kubwa unakosea wapo wenye PhD na Masters mtaani weng tu kwa hiyo kma kujiajirii umeshindwa tafufa kaz ya kujishkiza inaweza kua nje ya career yako fanya kwa moyoo connection ztakuja
Pia ana sahau kwamba kuna cross cutting courses eg waliosomea Law hawa nao hiyo kazi wanaweza kufanya hivyo ushindani unakuwa mkubwa zaidi
 
Back
Top Bottom