Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PM unitumie Vyeti vyako,uwe tayari kufanya kazi mahali popote especially nje ya DarWakuu natumaini mko poa.
Mimi ni graduate, jinsi Ke, nimemaliza mwaka 2022 degree ya Human Resource Management kwa ufaulu wa GPA ya 4.1.
Kabla ya kuhitimu nilishawahi kufanya practical training (field) kwenye taasisi ya serikali, hivyo nina ujuzi wa karibia miezi mitano.
Pia mwaka 2023 nilibahatika kupata kazi ya afisa masoko (ambayo ni nje ya career yangu) ambayo kiukweli ilikuwa na changamoto nyingi mno zilinipa stress nyingi plus mshahara mdogo mno unaoishia kwenye nauli.
Naomba yeyote mwenye connection ya kazi ya human resource anisaidie au hata kama una kampuni au unafanya kazi kwenye kampuni na ina uhitaji wa human resource/assistant human resource nipo tayari kufanya kazi.
Nina uwezo mzuri wa kufanya kazi (analytical and technical).
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja atakayesoma uzi huu.
Email: lovenessmartin0@gmail.com
Unadhani watu wanaajiri GPA?Wakuu natumaini mko poa.

Fisi maji 😂😂Njo nbox mdogowangu
Ooh mwenzako nina 4.5 engineering nafanya kazi SUMA JKT mwaka wa 5 huu 😁
Tusivujike moyo Mkuu ni kupambana tu
Sound engineering 😁Mh acha izo engineer ipi?
Soma Masters uwe assistant lecture
Sound engineering 😁
Mkuu gpa hizo si huwa wanabaki chuo?wewe imekuwaje?Wakuu natumaini mko poa.
Mimi ni graduate, jinsi Ke, nimemaliza mwaka 2022 degree ya Human Resource Management kwa ufaulu wa GPA ya 4.1.
Kabla ya kuhitimu nilishawahi kufanya practical training (field) kwenye taasisi ya serikali, hivyo nina ujuzi wa karibia miezi mitano.
Pia mwaka 2023 nilibahatika kupata kazi ya afisa masoko (ambayo ni nje ya career yangu) ambayo kiukweli ilikuwa na changamoto nyingi mno zilinipa stress nyingi plus mshahara mdogo mno unaoishia kwenye nauli.
Naomba yeyote mwenye connection ya kazi ya human resource anisaidie au hata kama una kampuni au unafanya kazi kwenye kampuni na ina uhitaji wa human resource/assistant human resource nipo tayari kufanya kazi.
Nina uwezo mzuri wa kufanya kazi (analytical and technical).
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja atakayesoma uzi huu.
Email: lovenessmartin0@gmail.com
Pia ana sahau kwamba kuna cross cutting courses eg waliosomea Law hawa nao hiyo kazi wanaweza kufanya hivyo ushindani unakuwa mkubwa zaidiNjoo na wazo la kujiajiri mwenyewe , ukisema GPA kwamba ni kubwa unakosea wapo wenye PhD na Masters mtaani weng tu kwa hiyo kma kujiajirii umeshindwa tafufa kaz ya kujishkiza inaweza kua nje ya career yako fanya kwa moyoo connection ztakuja
Labda Engineer wa miti shambaOoh mwenzako nina 4.5 engineering nafanya kazi SUMA JKT mwaka wa 5 huu 😁
Tusivujike moyo Mkuu ni kupambana tu
Ooh usibisheLabda Engineer wa miti shamba