Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Usilazimishe mambo. Kila jambo na wakati, na sababu zake. Usijirahisishe, kujitembeza, jipe muda, na umpate mtu kwa kuridhiana.
 
Kama tatizo ni kitobo tu wanaume tusingechagua wajameniii...
Baelezi hao. Mbona wao kama ishu ni de liboloz kwa nini wakina mzabzab wanatukataa huko pm tunaambulia vibuti tuu🤣🤣🤣🤣
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Njoo pm na ID yako ya zamani nikutongoze
 
Na hivyo ndivyo ilivyo.
Ukiwa umeoa ukitongoza Wanawake wanakukubalia, Mkeo akikuacha mtiti wa Kupata Mwanamke mwingine inakuwa kipengele.

Hiyo ni kawaida. Acha kuwaza mambo ya kijinga.
Kuwa msafi, vaa vizuri, Rings na jishaue.

Wanaume wanapenda Wanawake wanaoringa na kujishaua kuliko wanaojirahisisha
Wanaume wanapenda Wanawake wanaoringa na kujishaua kuliko wanaojirahisisha[emoji122][emoji2935]
 
Yaani huo ndio muda kukaa kuwaza kuhusu maisha binafsi na maendeleo yako.
Kutongozwa kunasaidia nini?
Mbona wanakuacha?
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
🤣🤣🤣🤣 weka Picha ukute nimeondoka jana tu
 
Back
Top Bottom