Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Kapicha ka kusindikizia ujumbe, tufanye tathimini
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
 
no tulia tu,mtu wako yupo
 
Naomba link somo la chumvi tafadhali

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app

Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza
 
nenda kapigwe maombi na mwamposa baba yenu wa imani wanadada.
 
Tabia mbaya Exy nikija huko 😅😅😅😅 mpe moyo mwenzako. Nikajua utamwambia, atakuona pm 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Hahahaaaaa.... Ko wewe unanikataa kwa staili ya kunisukumizia kwake😜😜
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Jua kuwa jamaa alikua anakuvumilia tu, ila sio pisi ya kuwapagawisha wana. Sasa ukute wewe ndio chanzo cha kuachana, kazi ipo.
 
Back
Top Bottom