Beverlyn
JF-Expert Member
- Aug 17, 2019
- 704
- 2,907
😂😂 kwa kweli…Hauna gundu lolote, hali ya maisha tu imewabana watu hawana fillings za ngono.
Amini hili ninalokwambia, wanaume wanakula pombe tu sasa hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 kwa kweli…Hauna gundu lolote, hali ya maisha tu imewabana watu hawana fillings za ngono.
Amini hili ninalokwambia, wanaume wanakula pombe tu sasa hivi.
pole sana, ndo maisha hayotayari 😂 mara mojamoja sio mbaya......
sema mwanangu hivi vi 5'5" kwenda chini ukivipata, ukavikamata ukawa unavirusha rusha raha sana😂😂 mmekosa urefu
Cute ninashida na namba yako please kama utojali🙏Wazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Na nyeto.Hauna gundu lolote, hali ya maisha tu imewabana watu hawana fillings za ngono.
Amini hili ninalokwambia, wanaume wanakula pombe tu sasa hivi.
Mambo yote tunamalizia salon.😂😂 kwa kweli…
Kwahiyo wanawake wafupi hawatongozwagi?
😂 sitii nenosema mwanangu hivi vi 5'5" kwenda chini ukivipata, ukavikamata ukawa unavirusha rusha raha sana😂
Sawa kaogeshwe wakutoe nongwe hizo 😂Mambo yote tunamalizia salon.
jaribu mkuu siku moja 😂😂 sitii neno View attachment 2585254
utelezi nnao mkononi kabisa hapaNa nyeto.
Au sio dronedrake
Nijaribu mara ngapi 😂jaribu mkuu siku moja 😂
Hutaki shida na mtu, kitu self service.utelezi nnao mkononi kabisa hapa
Una tuchukuliaje watu wafupi eti mkuu😬😬Hebu picha hata pm tuone shida iko wapi, mimi sio mchawi ila wewe ni mfupi
Mkuu usinigombanishe na wapare 😂Umetumia theory fupi...ya jina la mwisho😀....msangi.
Naona sifa zako zinafafana na yagu mimi kila nikimtongoza mwanamke ananikimbia .njoo tuyajengeWazima jamani