kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Mimi na Wapare ni kaskazini na kusiniWazima jamani
Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano, niko mpweke Sana sijui yule kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
tena umetumia dawa pita ivi jana nimekuona unajipitishapisha mbele yetuu nikajua tuu ni wewe huyu.
wala hatukukupa atention pamoja na madawa yako ya akina Sengebe