Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Njoo kwangu nakupokea kabisa kwa mikono miwilii
 
Automatic ukiwa na mtoto mzur ni rahis kupata watoto wazur lkn pia ukiwa huna ata wakukutongoza inakuwaga ngumu kupata mtu wakuwa nae kwenye mapenz , sio wewe bali ni aslimia kubwa .
 
Madawa ya mvuto yatakuletea mapepo!! Nakushauri uokoke kwa kumpokea Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako!! Achana na maisha ya uasherati!! Subiri uolewe kwa heshima!!
 
Hauna gundu hujatulia una kisirani na hujajua unakosea wapi jitulize tu.Pia ni mapema mno.
 
Shida siyo sura Wala ila ni wewe mwenyewe mindset Yako kwanza hujikubali vile ulivyo hujiamini na hata ukipata mtu unamjulisha mapunguf yako unalalamika tu na vile unataka huyo mtu awe hakosei hakuna malaika jiikubali jiamini maisha Yako yapo mikononi mwako waganga ni wadanganyifu na dawa zao Zina mwisho siyo za milele ila wewe utadumu mpaka Mungu wako aseme basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…