Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Kwan kwa mwanamke, haitakiwi kupita muda kiasi gan bila kutongozwa? Yan wanawake, ni siku ngap zikipita haujatongozwa, unaanza kupata mashaka?
Mwanamke asipotongozwa zaidi ya mwezi na mwanaume mpya tayari ilo ni tatizo kubwa. Maana yake haonekani, amekosa mvuto, hakumbukwi, hana ushawishi. Chakula kikuu cha mwanamke ni attention.
 
Sawa mkuu shukrani kwa kuniongezea kufahamu hayo
 
Huu utani sasa
 
Karne ya 21 unataka kitu unasubiri uombwe (wewe kama kuna sehemu unapenda wekeza hapo juana na mtu uone kama feelings ni mutual)... wanasema...

Desperation is like stealing from the Mafia: you stand a good chance of attracting the wrong attention.
 
Mvuto wa kimuonekano upo?

Isijekuwa muonekano F kiasi kwamba BF wako alikuwa na wewe kwa kukuonea huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…