Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Kwan kwa mwanamke, haitakiwi kupita muda kiasi gan bila kutongozwa? Yan wanawake, ni siku ngap zikipita haujatongozwa, unaanza kupata mashaka?
Mwanamke asipotongozwa zaidi ya mwezi na mwanaume mpya tayari ilo ni tatizo kubwa. Maana yake haonekani, amekosa mvuto, hakumbukwi, hana ushawishi. Chakula kikuu cha mwanamke ni attention.
 
Mvuto wa mtu haupo kwenye muonekano wake. Upo kwenye nyota yake. Mwanamke anaweza kuwa mrembo sana ila hawezi vutia, haonekani, hakumbukwi.

Binadamu tunaishi kwa kutegemea nyota au wengine wanaita kismati. Kama hauna hicho uwe mzuri, umesoma, una pesa vyote ni kazi bure utashangaa kwa nini watu hawana time na wewe.
Sawa mkuu shukrani kwa kuniongezea kufahamu hayo
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Huu utani sasa
 
Karne ya 21 unataka kitu unasubiri uombwe (wewe kama kuna sehemu unapenda wekeza hapo juana na mtu uone kama feelings ni mutual)... wanasema...

Desperation is like stealing from the Mafia: you stand a good chance of attracting the wrong attention.
 
Wazima jamani

Baada na kuachana na boyfriend wangu, sasa ni miez 5 sipo kwenye mahusiano,Niko mpweke Sana cjui yule mbwa kaniachia gundu mwezenu ata sitongozwi yani kila nikijipitisha walipo wanaume hakuna ata anayenisimamisha au ata wakuniomba namba,nikijiangalia kwenye kioo najiona bado navutia, nimetumia madawa ya mvuto lakini wapi.
Mvuto wa kimuonekano upo?

Isijekuwa muonekano F kiasi kwamba BF wako alikuwa na wewe kwa kukuonea huruma
 
Back
Top Bottom