Nitamtuma kijana wangu ahakikishe km kweli πππHuwez nigundua labda mm nitake mwenyewe, haya kesho ukienda ulizia waiti.....kijiwe changu kilikuwaga shamba la bibi na hong Kong hotel
Salimia sana hiyo Muzee,Thanks mkuu on behalf π
Yes!wewe ndio umeniambia jambo la maana,huyu hata tusipomwaga maji moto haulambi sadakaHuyo jamaa ni nabii wa Baali mkuu π
Ulikuwa na mpango wa kutuma sadaka kwa nabii wa Baali?Yes!wewe ndio umeniambia jambo la maana,huyu hata tusipomwaga maji moto haulambi sadaka
injili ya mwoko Yesu, itatangazwa tu katika mazingira yeyote Roho Mtakatifu atakaporuhusu itangazwe, pawe na sadaka ama hakuna tutasonga mbele,Yes!wewe ndio umeniambia jambo la maana,huyu hata tusipomwaga maji moto haulambi sadaka
Na mm natega wahuni wangu nawapanga akija mtu kuniulizia fanyeni kum-mark jioni nikija mniambieNitamtuma kijana wangu ahakikishe km kweli πππ
Mungu hutumia namna na njia mbalimbali kumfikisha mja wake anapostahili kupitia Roho Mtakatifu.We nabii wewe unanitia mashaka saanaa..kila kitu unasingizia roho mtakatifu yaani!!una janjajanja nyingii sanaπ€¦π€¦
Mke wa mtu sumu.mshamba_hachekwi ni zamu yako kumuanzishia uzi Ms eyes
Mke wa nan wakat kanakaa kwaoMke wa mtu sumu.
Aimen πSalimia sana hiyo Muzee,
Ambia yeye kwamba, Nina muheshimu sana, na kwakweli aniwie radhi kuu sana, ikiwa kwa namna yeyote ile nimemkwaza.
Nimefurahishwa zaidi na ungwana na ustahimilivu wake wa kiwango sana, na hilo limedhihirisha bayana kwamba hakika yeye ni Baba Kamili wa familia, hana papara anajivunia wewe kwa uhakika na anajiamini.
Ni katika hali ya kutokujua na maendeleo katika sekta habari, mawasilino na mitandao ya kijamii, hili limetokea kwa jinsi lilivyotokea. Hakuna jingine.
Ukweli umedhihirika na kubanika, sote tupo huru.
Tuchape kazi sasa na tusonge mbele kwa amani, Furaha na upendo....
Amen..
Zulu man πππ we bush man unaibiwa hukumshamba_hachekwi ni zamu yako kumuanzishia uzi Ms eyes
Mbona tunawindana tena πππNa mm natega wahuni wangu nawapanga akija mtu kuniulizia fanyeni kum-mark jioni nikija mniambie
Aje PM basi maana nipo Singo ππSawa wewe mwanamke mkubalie uolewe πππ
Tuimbe wimbo namba 440 'Zaeni matunda mema'Aimen π
Kweli najivunia yeye sana, ni mwanaume wa ndoto zangu na hata kwa asilimia ya wanawake wengi. Lakini hiyo neema nimeipata mimi tu Lamomy namshukuru Mungu.
Salamu zimefika na uzuri mwenzi ni muelewa hana tatizo.
ooh hallelujah...Aimen π
Kweli najivunia yeye sana, ni mwanaume wa ndoto zangu na hata kwa asilimia ya wanawake wengi. Lakini hiyo neema nimeipata mimi tu Lamomy namshukuru Mungu.
Salamu zimefika na uzuri mwenzi ni muelewa hana tatizo.
Roho Mtakatifu aendelea kukutakasa kabisa kwa damu azizi ya Yesu Kristo