Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Itakuwa fiesta.....wasanii woote ndani ....mipesa tuu walipa kodi masikinii zinachezewaaaaKubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.
Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.
Kwa miaka mingi tulikuwa tunaona kampeini za ushindani. Mwaka 2010 tuliona kampeini Kali kati Slaa na Kikwete.
Mwaka 2015 tuliona kampeini Kali kati ya Magufuli na Lowasa.
Mwaka 2020 tuliona ushindani wa Lissu na Magufuli.
Mwaka huu Samia atazunguka mwenyewe kupiga kampeini. Ata mgombea wa kumchamba hatokuwepo, maana kwenye kampeini unamchamba mpinzani wako mkuu.
Nina hamu kubwa kuona Samia akizunguka mwenyewe kufanya Kampeini mwaka huu.
Mto wa Mbu
Illinois
Nina hamu kuona wasanii wakizunguka kupiga kampeini, uku hakuna mpinzaniItakuwa fiesta.....wasanii woote ndani ....mipesa tuu walipa kodi masikinii zinachezewaaaa
Wahisani wakijitoa ku support budget.....tujibane kwa makuwanyo ya kubumba ya TRA.....bawi sawa tunasubiriNina hamu kuona wasanii wakizunguka kupiga kampeini, uku hakuna mpinzani
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.
Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.
Kwa miaka mingi tulikuwa tunaona kampeini za ushindani. Mwaka 2010 tuliona kampeini Kali kati Slaa na Kikwete.
Mwaka 2015 tuliona kampeini Kali kati ya Magufuli na Lowasa.
Mwaka 2020 tuliona ushindani wa Lissu na Magufuli.
Mwaka huu Samia atazunguka mwenyewe kupiga kampeini. Ata mgombea wa kumchamba hatokuwepo, maana kwenye kampeini unamchamba mpinzani wako mkuu.
Nina hamu kubwa kuona Samia akizunguka mwenyewe kufanya Kampeini mwaka huu.
Mto wa Mbu
Illinois
Chini ya Samia, hapatakua na Kampeni, itakua ni kusanyiko la Wasaniii kutoa Burudani na Wananchi kupata Fursa za kuwaona Wasanii laivuuuuuKubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.
Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.
Kwa miaka mingi tulikuwa tunaona kampeini za ushindani. Mwaka 2010 tuliona kampeini Kali kati Slaa na Kikwete.
Mwaka 2015 tuliona kampeini Kali kati ya Magufuli na Lowasa.
Mwaka 2020 tuliona ushindani wa Lissu na Magufuli.
Mwaka huu Samia atazunguka mwenyewe kupiga kampeini. Ata mgombea wa kumchamba hatokuwepo, maana kwenye kampeini unamchamba mpinzani wako mkuu.
Nina hamu kubwa kuona Samia akizunguka mwenyewe kufanya Kampeini mwaka huu.
Mto wa Mbu
Illinois
Daaa sijui tunaelekea wapiChini ya Samia, hapatakua na Kampeni, itakua ni kusanyiko la Wasaniii kutoa Burudani na Wananchi kupata Fursa za kuwaona Wasanii laivuuuuu
Rohoni mwangu kuna kitu kinaniambia Kuna jambo kubwa litatokea mwaka huuWabunge watakao pita kugombea wajiandaee Kwa kulogwa na kufa na waliotemwaa,
Mwaka uchawi utakuwa na soko Sanaa...ajali n nyingiii
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.
Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.
Kwa miaka mingi tulikuwa tunaona kampeini za ushindani. Mwaka 2010 tuliona kampeini Kali kati Slaa na Kikwete.
Mwaka 2015 tuliona kampeini Kali kati ya Magufuli na Lowasa.
Mwaka 2020 tuliona ushindani wa Lissu na Magufuli.
Mwaka huu Samia atazunguka mwenyewe kupiga kampeini. Ata mgombea wa kumchamba hatokuwepo, maana kwenye kampeini unamchamba mpinzani wako mkuu.
Nina hamu kubwa kuona Samia akizunguka mwenyewe kufanya Kampeini mwaka huu.
Mto wa Mbu
Illinois
Samia ata kina Brenda Rupia, Soka anawaogopa,,,,ila kulazimishwa kupendwa ni shidaa
Litakufa jitu mwaka huuKilemba cha damu chekundu blood 🩸 Mungu atuepushie
Karibu kilwa .Wabunge watakao pita kugombea wajiandaee Kwa kulogwa na kufa na waliotemwaa,
Mwaka uchawi utakuwa na soko Sanaa...ajali n nyingiii
Mangungu boyKaribu kilwa .
Na litokee tu mkuu 😂 😂Rohoni mwangu kuna kitu kinaniambia Kuna jambo kubwa litatokea mwaka huu