GE2025 Nina hamu kubwa kuona Samia atakavyozunguka peke yake kufanya Kampeini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sijui kama chawa wake wanajua hili.
Badala ya campaign itakuwa ni festival Tu ebu fikiria unaenda kushindana na chauma kweli? Hii ni kama kushindanisha Real Madrid Vs Namungo
 
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.

Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.

Kwa miaka mingi tulikuwa tunaona kampeini za ushindani. Mwaka 2010 tuliona kampeini Kali kati Slaa na Kikwete.

Mwaka 2015 tuliona kampeini Kali kati ya Magufuli na Lowasa.

Mwaka 2020 tuliona ushindani wa Lissu na Magufuli.

Mwaka huu Samia atazunguka mwenyewe kupiga kampeini. Ata mgombea wa kumchamba hatokuwepo, maana kwenye kampeini unamchamba mpinzani wako mkuu.

Nina hamu kubwa kuona Samia akizunguka mwenyewe kufanya Kampeini mwaka huu.

Mto wa Mbu
Illinois
Wenye malori tutapiga sana pesa
 
😄 wala asizunguke na kupoteza pesa,nguvu wampitishe tu

Ova
Tunakwenda kwa style ya Ruto.

Gen Z wanaoandamana wanapigwa risasi ya mguu kwanza, halafu wanaenda kupewa fair trial.

Na hawa wapinzani wa Bongo tunawapiga kwa tume huru ya uchaguzi ya CCM kwanza, halafu tunaenda kushindana nao kwenye uchaguzi huru na wa haki 😂😂😂😂
 
Sawaaa
 
Sijui kama chawa wake wanajua hili.
Badala ya campaign itakuwa ni festival Tu ebu fikiria unaenda kushindana na chauma kweli? Hii ni kama kushindanisha Real Madrid Vs Namungo
Aibu Hana ata kina Nchimbi mzuka na uchaguzi Hawana ,maana wanashindana na viburi
 
Kama Hali itakuwa hivyo kuna haja gani ya kuufungia mtandao wa X (zamani Twitter) ,hata siku ya uchaguzi na siku za kusubiri matokeo kuna haja gani ya kuoifunga mitandao kama JF na mingineyo?
 
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.

Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.

Kwa miaka mingi tulikuwa tunaona kampeini za ushindani. Mwaka 2010 tuliona kampeini Kali kati Slaa na Kikwete.

Mwaka 2015 tuliona kampeini Kali kati ya Magufuli na Lowasa.

Mwaka 2020 tuliona ushindani wa Lissu na Magufuli.

Mwaka huu Samia atazunguka mwenyewe kupiga kampeini. Ata mgombea wa kumchamba hatokuwepo, maana kwenye kampeini unamchamba mpinzani wako mkuu.

Nina hamu kubwa kuona Samia akizunguka mwenyewe kufanya Kampeini mwaka huu.

Mto wa Mbu
Illinois
Dah! Magufuli na Lowasa was too hot
 
Nafikiria eti nae atakuwa anApiga sera anatoka mpakA majasho na kujifuta na kitambaa
 
Kama Hali itakuwa hivyo kuna haja gani ya kuufungia mtandao wa X (zamani Twitter) ,hata siku ya uchaguzi na siku za kusubiri matokeo kuna haja gani ya kuoifunga mitandao kama JF na mingineyo?
We unadhani Hali itakuwaje
 
Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge.

Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe.

Kwa miaka mingi tulikuwa tunaona kampeini za ushindani. Mwaka 2010 tuliona kampeini Kali kati Slaa na Kikwete.

Mwaka 2015 tuliona kampeini Kali kati ya Magufuli na Lowasa.

Mwaka 2020 tuliona ushindani wa Lissu na Magufuli.

Mwaka huu Samia atazunguka mwenyewe kupiga kampeini. Ata mgombea wa kumchamba hatokuwepo, maana kwenye kampeini unamchamba mpinzani wako mkuu.

Nina hamu kubwa kuona Samia akizunguka mwenyewe kufanya Kampeini mwaka huu.

Mto wa Mbu
Illinois
kila mwaka wenye namba 5 Rais hubadilika. Anzia 1995. Hilo halitakwepeka mwaka huu.
 
Back
Top Bottom