Miaka 27 mbona bado mdogo, ungekuwa mwanamke hapo sawa. Subiri ukifika miaka 32 ndo uoe, na mwanaumeAma hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.
Niko na age 27 ila mpaka sasa sina limke wala litoto yaani nabaki kuchanganyikiwa na ukizingatia maisha yenyewe ni panga pakavu yaani daah sio poa wakuu niko nachanganyikiwa tu naomba mniombee na mie.
Hofu ya kuanzisha inanikumba na naogopa kutengeneza familia 😨 sijui kwanini na umri na muda unaenda wala hamuachi mtu hapo ndipo ninapochanganyiwa aisee yaani daa sio poa waku! Mniombee
Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.

Miaka 27 mbona bado mdogo, subiri ukifika miaka 32 ndo uoe, afu mwanaume hatakiwi kuwa na stress za kukosa mke,Ama hakika hii dunia ili upate peace of mind unapaswa uwe na mke angalau mambo au akili yako inaweza kutulia ila ajabu kwa mimi huu umri mpaka sasa sina mke wala watoto nipo nipo tu, kazi kuwakula madada poa tu mpaka nimechoka naona wanaongeza nuksi tu maishani.
Niko na age 27 ila mpaka sasa sina limke wala litoto yaani nabaki kuchanganyikiwa na ukizingatia maisha yenyewe ni panga pakavu yaani daah sio poa wakuu niko nachanganyikiwa tu naomba mniombee na mie.
Hofu ya kuanzisha inanikumba na naogopa kutengeneza familia 😨 sijui kwanini na umri na muda unaenda wala hamuachi mtu hapo ndipo ninapochanganyiwa aisee yaani daa sio poa waku! Mniombee
ungekuwa mwanamke hapo sawa.
Namshukuru Mungu kwa kuniumba mwanaume, maana ningekuwa nina stress hizo hizo kwa sasa.