Nina hofu na uoga! Kwa hii age yangu si ninaweza kuzeeka hivi hivi bila mke au kids? Niko overwhelmed

Miaka 27 mbona bado mdogo, ungekuwa mwanamke hapo sawa. Subiri ukifika miaka 32 ndo uoe, na mwanaume
Miaka 27 mbona bado mdogo, subiri ukifika miaka 32 ndo uoe, afu mwanaume hatakiwi kuwa na stress za kukosa mke,
ungekuwa mwanamke hapo sawa.

Namshukuru Mungu kwa kuniumba mwanaume, maana ningekuwa nina stress hizo hizo kwa sasa.
 
Afu badilisha hilo jina, kujiita phobia (kigiriki-kiswahili ni uoga) ni kujilaani mwenyewe. Halafu uoga ni dhambi, soma Ufunuo wa yohana 21:8
 
Kwa wewe It's late
but not too late


Ila ungekuwa ke basi too late

Kwani ulikuwa unasomaga??

Màana madokta na watu wa masters ni kawaida
Mwanangu hiyo midigrii inapelekesha muda kishenzi, unamaliza degree, unaunga na masters, mpaka unakuja kuajiriwa, unashangaa 35 yrs hii hapa, afu hapo huna mke wala mtoto, afu classmates wako ambao ni form four failure unawakuta wana familia kubwa tu, na pesa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…